Kulikuwa na sababu yeyote leo kuweka Mashada kwenye kaburi la Magufuli?

Usijidai hujui leo shughuli ilikua kuzima mwenge pale chato na kumbukizi ya kifo cha nyerere yaani nyerere day. Kwanza jiulize kwa nini mwenge kuzimwa chato kama sio kwa heshima ya magufuli. Halafu mtafika chato bila kuzuru wapi amelala magufuli?
 
Ccm iko kinyume shuguli ya nyerere baba wataifa harafu wanahaha na magufuli akiamka asikie mzee lugemalila Yuko nje huyu mama atajibu nn sijui
 
Kulikuwa na ubaya wowote? Btw Mama Mjane mwenyewe wa muhusika alikuwa huko kwenye mashada! Ushabiki mwingine ni wa kijinga kabisa
 
Usijidai hujui leo shughuli ilikua kuzima mwenge pale chato na kumbukizi ya kifo cha nyerere yaani nyerere day. Kwanza jiulize kwa nini mwenge kuzimwa chato kama sio kwa heshima ya magufuli. Halafu mtafika chato bila kuzuru wapi amelala magufuli?
Wameiharibu kabisa siku hii.
 
M
Kulikuwa na ubaya wowote? Btw Mama Mjane mwenyewe wa muhusika alikuwa huko kwenye mashada! Ushabiki mwingine ni wa kijinga kabisa
Mipango yenyewe ndiyo ya kijinga badala ya kumkumbuka Nyerere wamekumbuka kaburi la mwingine.
 
Katika vitu ambavyo Einnstein nilichelew kumumin ni pale aliposema
"Two things are infinite the universe and human stupidity; and I’m not sure about th’universe!"
Mimi niliamin kinyume chake.
Kipindi hicho ilikua lazima usielewe Mana mawazo yote usikute ilikua kuhusu bumu na mengineyo yakitaaluma nakupiga mizinga wazazi ,Sasa unapigwa wewe ndomana unakumbuka kots zawatu

Hiyo ndo babu na Bibi yetu ccm usishangae
 
Hakukuwa na sababu ni siasa tu
 
Kama Sherehe za kuzima mwenge umefanyika kitaifa Chato. Sioni tatizo mtu kwenda kwenye kaburia la Hayati Magufuli. Magufuli katendea mema nchi yetu tutamkumbuka kwa mema.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa na ubaya wowote? Btw Mama Mjane mwenyewe wa muhusika alikuwa huko kwenye mashada! Ushabiki mwingine ni wa kijinga kabisa
Kwahiyo mama mjane Maria kaenda Chato kumfariji Mama janeth Magufuli.
 
Yule bwana hata akiwekewa mashada ya dhahabu hawezi kuamka, fanyeni mambo mengine huyo kwa sasa ni mkazi(kihaya) wa kuzimu
Yaan wanamuogopa mtu ambae kishabakaia mifupa!! Sasa hayo mashada siwangeenda kuweka kwenye kaburi la nyerere
 
Acheni unafiki,Nyerere kafinyiwa iyo kumbukizi mara ngapi?
Limefagiliwa na kutiwa maua mara ngapi?
Mara hii tukio linafanyika chato na marehemu mpya hata mwaka hajamaliza mwaka,ndo mnaona wivu watu kwenda kusalimu na kuawpa pole wafiwa.?

Kuna mijitu inawivu mpk kwa Marehemu,
Pohoo....ptuuu....koho..koh...koh.
Ptuuuuuuu...
 
kumbukizi ya muda gani? jiwe alifariki lini na leo ni lini
 
Siyo vizuri kufanya siasa kwenye vifo vya viongozi wetu...Fanyeni siasa kwenye mambo mengine tuwaenzi viongozi wetu kwakuwapumzisha na mivutano kama hii isiyo na tija....Roho zao zipumzike kwa amani!
 
Uchonganishi wao umekuwa neutralized sasa wanakuja na mbinu nyingine ya kuleta divisions kwa watanzania....Hawa ndugu laana itawasumbua sana!
 
Reactions: 1gb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…