Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

Wanawatayarisha mzoee, ikifika siku ya siku watazima INTERNET ili wafanye uchinjaji wao lakini wanasahau kuwa kuna SATELLITES!! Wataonekana tu na unyama wao!
 
GT
Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri

Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
Watu kakatoe hela
 
Wanawatayarisha mzoee, ikifika siku ya siku watazima INTERNET ili wafanye uchinjaji wao lakini wanasahau kuwa kuna SATELLITES!! Wataonekana tu na unyama wao!
Sidhani kama yaliwaza Kuna satellite
 
Back
Top Bottom