Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Screenshot_20230626-075456_(1).png
 
Acha upumbavu, muliishabikia ACT walipozindua ofisi yao na kuiponda Chadema, leo mshageuka MAVI yenu.
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .

Hatujali gharama ya hiyo ofisi, ili mradi iwe yao. Ile aibu ya ile ofisi kule uswahilini ilikuwa sio kabisa.
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Wapuuzi watupu nyie.

Kutwa mliimba humu mpaka mkatembea uchi kwamba Chadema haina ofisi leo mnakuja na hoja mfu.

Kwani jengo la CCM lumumba Ni la Bei gani.

Wangejenga kibanda Ni wapuuzi nyie nyie mngekuja humu kuharisha .

Nawapongeza wamejenga ofisi maeneo yenye hadhi na kwa mradi ambao Ni wa kudumu.

Kifeni mbwa nyie! Kajengeni zenu za gharama nafuu.

Kenge!
 
Mmeanza tena. Daah...! Binadamu bwana hasa Watanzania hatuna lililo sawa. Ile ofisi ya mwanzo kutwa mlikuwa mnaiponda Chadema kwa ile ofisi ya ufipa. Wamejenga ofisi nzuri,tayari yameanza tena maneno.
Wanajuwa wamenyimwa agenda ya ofisi huku swala la bandari zimewachanganya na kichaka chakujificha kimechomwa moto,,
 
Back
Top Bottom