Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Hiyo nyumba haikujengwa na Chadema kama ofisi yao. Ni ama wameamua kupanga sehemu nyingine yenye hadhi au wameiunununua (na huenda kwa mkopo) katika kujiandaa na uchaguzi ujao. Neno acquire halimaanishi built.
Hapa hatupo katika suala la lugha. Nadhani aulizwe mwandishi wa "The Citizen" alimaamisha "Imepata" au "Imejenga." Pia nyongeza ya hapo kwa sababu kimeandikwa kichwa cha habari tu hapo kwenye picha, nadhani kama ungepata gazeti na kulisoma ndo unge- judge kama wamepata kwa kupanga, wamenunua au wamejenga wenyewe.
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .

Wakiwa ufipa wamesemwa san, now wamefanikisha ofis mpya still wanasemwa tu!! Kwan hawa jamaa CDM wanatakiwa wafanye nn ili mridhike?
 
Mmeanza tena. Daah...! Binadamu bwana hasa Watanzania hatuna lililo sawa. Ile ofisi ya mwanzo kutwa mlikuwa mnaiponda Chadema kwa ile ofisi ya ufipa. Wamejenga ofisi nzuri,tayari yameanza tena maneno.
Wanadamu hawana jema, wenye ofisi Buguruni nao wanapigwa madongo, labda wangejenga manzese ila Kwa faida ya chama ni watu wanaolalamika kuwekwa kwenye kundi la wasio na jema
 
Ni pesa za wananchi
So what! Ni chama gani hakitumii pesa za watu? Hata pesa unazotumia sio zako. Nadhani wapongeze kwa hatua hiyo waliyofikia. Ni hatua moja katika nguzo ya uhai wa chama kisiasa labda kama uko upande ule wa "Adui mwombee njaa"
 
Wapuuzi watupu nyie.

Kutwa mliimba humu mpaka mkatembea uchi kwamba Chadema haina ofisi leo mnakuja na hoja mfu.

Kwani jengo la CCM lumumba Ni la Bei gani.

Wangejenga kibanda Ni wapuuzi nyie nyie mngekuja humu kuharisha .

Nawapongeza wamejenga ofisi maeneo yenye hadhi na kwa mradi ambao Ni wa kudumu.

Kifeni mbwa nyie! Kajengeni zenu za gharama nafuu.

Kenge!
CCM wapuuzi sana wameuza bandari zetu wanatafuta kujificha kwenye kivuli cha jengo la Chadema
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .

Watu wameenda Sweden kwenye mashindano ya ngono kula hizo pesa, wewe unauliza kwanini?

Upo coco beach unauliza baharini wapi?
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .

Kwa mfano wewe ungetaman ofisi iwe maeneo gani ambayo ni ya gharama ya chini?
 
Hapa hatupo katika suala la lugha. Nadhani aulizwe mwandishi wa "The Citizen" alimaamisha "Imepata" au "Imejenga." Pia nyongeza ya hapo kwa sababu kimeandikwa kichwa cha habari tu hapo kwenye picha, nadhani kama ungepata gazeti na kulisoma ndo unge- judge kama wamepata kwa kupanga, wamenunua au wamejenga wenyewe.
Wewe ndiye uliyesema "wamejenga'"; mwandishi alisema wazi kuwa "wamepata."
 
Back
Top Bottom