Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
RNA anadai... Chama changu chadema 🤣🤣🤣🤣Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Hapa hatupo katika suala la lugha. Nadhani aulizwe mwandishi wa "The Citizen" alimaamisha "Imepata" au "Imejenga." Pia nyongeza ya hapo kwa sababu kimeandikwa kichwa cha habari tu hapo kwenye picha, nadhani kama ungepata gazeti na kulisoma ndo unge- judge kama wamepata kwa kupanga, wamenunua au wamejenga wenyewe.Hiyo nyumba haikujengwa na Chadema kama ofisi yao. Ni ama wameamua kupanga sehemu nyingine yenye hadhi au wameiunununua (na huenda kwa mkopo) katika kujiandaa na uchaguzi ujao. Neno acquire halimaanishi built.
Wakiwa ufipa wamesemwa san, now wamefanikisha ofis mpya still wanasemwa tu!! Kwan hawa jamaa CDM wanatakiwa wafanye nn ili mridhike?Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Wanadamu hawana jema, wenye ofisi Buguruni nao wanapigwa madongo, labda wangejenga manzese ila Kwa faida ya chama ni watu wanaolalamika kuwekwa kwenye kundi la wasio na jemaMmeanza tena. Daah...! Binadamu bwana hasa Watanzania hatuna lililo sawa. Ile ofisi ya mwanzo kutwa mlikuwa mnaiponda Chadema kwa ile ofisi ya ufipa. Wamejenga ofisi nzuri,tayari yameanza tena maneno.
So what! Ni chama gani hakitumii pesa za watu? Hata pesa unazotumia sio zako. Nadhani wapongeze kwa hatua hiyo waliyofikia. Ni hatua moja katika nguzo ya uhai wa chama kisiasa labda kama uko upande ule wa "Adui mwombee njaa"Ni pesa za wananchi
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Ni "Kutengeneza?" au ni "Kujenga?"
CCM wapuuzi sana wameuza bandari zetu wanatafuta kujificha kwenye kivuli cha jengo la ChademaWapuuzi watupu nyie.
Kutwa mliimba humu mpaka mkatembea uchi kwamba Chadema haina ofisi leo mnakuja na hoja mfu.
Kwani jengo la CCM lumumba Ni la Bei gani.
Wangejenga kibanda Ni wapuuzi nyie nyie mngekuja humu kuharisha .
Nawapongeza wamejenga ofisi maeneo yenye hadhi na kwa mradi ambao Ni wa kudumu.
Kifeni mbwa nyie! Kajengeni zenu za gharama nafuu.
Kenge!
Mpuuzi huyo ni ACT ya AyatollahRNA anadai... Chama changu chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Je, ni "Kutengeneza?" au ni "Kujenga?"Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Kwani wamejenga ili kukuaminisha wewe au wamejenge kukidhi mahitaji yao.Nitakua wa mwisho kuamini wana ofisi mikocheni
Hamridhiki, ilipokuwepo ya beii ya ndogo ufipa nako mlilalamika.Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Watu wameenda Sweden kwenye mashindano ya ngono kula hizo pesa, wewe unauliza kwanini?Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Nasikia Mama aliwahurumia akawapatia billion 3Mimi nawapongeza kwa kufanikiwa kujenga ofisi mpya na ya kisasa. Maana ile ya mwanzo ya kukodi pale Ufipa, ilikuwa inawadhalilisha.
Kwa mfano wewe ungetaman ofisi iwe maeneo gani ambayo ni ya gharama ya chini?Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Chimwaga!?..unaijua chimwaga,ipo!?criticism kwa Chadema ni kubwa kuliko kwa watawala waliotengeneza Chimwaga kwa kodi zenu?
Wewe ndiye uliyesema "wamejenga'"; mwandishi alisema wazi kuwa "wamepata."Hapa hatupo katika suala la lugha. Nadhani aulizwe mwandishi wa "The Citizen" alimaamisha "Imepata" au "Imejenga." Pia nyongeza ya hapo kwa sababu kimeandikwa kichwa cha habari tu hapo kwenye picha, nadhani kama ungepata gazeti na kulisoma ndo unge- judge kama wamepata kwa kupanga, wamenunua au wamejenga wenyewe.