Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Watu wameenda Sweden kwenye mashindano ya ngono kula hizo pesa, wewe unauliza kwanini?

Upo coco beach unauliza baharini wapi?
Wewe na ukahaba wako wa uzeeni wa kuparamiwa na vijana wadogo kila mwenye akili ameshakudharau.
 
Wewe ndiye uliyesema "wamejenga'"; mwandishi alisema wazi kuwa "wamepata."
Kwenye "title" kasema wametengeneza lakini kwenye ufafanuzi wa "title" kasema wamejenga. Soma vizuri utaelewa. Na uwe unasoma vizuri bwana unasumbua watu with no apparent reason
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Usitutoe katika mjadala wa Bandari.
 
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261

Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Hata chadema wakichukua Dola bandari itaendelea kupata hasara maana hili linaonyesha ni kiasi gani watanzania ni wezi
 
Swala la upigaji hata CCM lipo mkuu, sioni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…