Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi itapangiwa muda wa kusikilizwa tarehe 26
Rais analindwa na katiba, HASHITAKIWI.Actually wamemshtaki Kikwete. Huyu bwana uropokaji wake utakuja kumponza. Acha amalize Urais wake ili watu waanze kudeal nae.
Naaam, eti hata rais wa nchi anavunja sheria live! Kwanini sheria hii walishindwa kubadili kwa hati ya dharula?
Tayari wakili jembe na nguli Peter Kibatala akiambatana na wanasheria nguli wa Ukawa Prof Safari, Mallya na Tundu Lissu asubuhi ya leo amefungua kesi mahakama kuu kuishitaki NEC kwa ukiukwaji wa sheria juu ya wananchi kukaa mita mia mbili na kulinda kura. Tayari jalada lishapelekwa kwa pilato na wanasheria nguli wa Ukawa wamejipanga kwa hoja za nguvu na ushahidi wa kutosha.
Pia jopo la wanasheria nguli wa Ukawa wameiomba mahakama kuu ya Tanzania kutoa tafsiri ya kisheria juu ya matamshi ya rais wa nchi kuwa alitumia mamlaka gani kuvaa kazi za tume.
Watakutana na wanasheria nguli wa serikali ndipo tutaona ukweli,hapo ni hoja ndito zitawapa ruhusa kulinda kura napo bado ni ngumu
kwani ajabu ni nini mkuu???,yaani upige kura harafu uziache wahuni wazichakachue ndio umefanya nini???,si bora ungelala kwenu tu.Ukiwa na mtoto sijui anajiita UKAWA ni bora ukabadilishana na Lowassa akakupa kuku unywe mchuzi.Ili awe anamdekia barabara na kulinda kura.Yaani mtu asifanye kazi akakae kituoni anamlindia KULA Fred Lowassa.AKILI AU TOPE???!!Huyu Kibatala yupo kazini nadhani analipwa na FISADI LOWASSA.
Anauza sura tu hana jipya ni kawaida yake kuuza sura.
Anauza sura tu hana jipya ni kawaida yake kuuza sura.