Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

Nashukuru leo nimepima mita 200 toka kituo changu cha kupigia kura hatua zimeishia bar.Hapo itakua mwendo wa bia huku nalinda kura.

Daaa sasa utakuwa chakaliii na utaibiwa mkuu...bia na ulinzi tena!
 
Chadema kwa kulalamika,angekuwa mke angeachika siku ya ndoa
 
Chadema kwa kulalamika,angekuwa mke angeachika siku ya ndoa
Nyerere aliwahi kusema "Wamarikani wanatulaumu kwa kuwa Makondoo kwa kukubali kila kitu tunachoambiwa na Warusi, lakini na wao wanataka tukubali kila wanalo tuambia, sisi tumekataa kuwa kondoo Kwa mtu yeyote" Kukaa kimya bila ya kulalamika kwa mabaya unayotendewa ni UKONDOO!!
 
kila la kheri my learned brother,I hope High Court watatoa tafsiri liberally kuhakikisha haki inapatikana

attachment.php
 
Saafi saana UKAWA ninyooshee hao wanaotaka kupindisha sheria
 
Mkuu wala liberal approach haihitajiki kwani kifungu kipo wazi kabisa kuwa kukaa mita mia mbili toka sehemu ya kupigia kura sio kosa. Ila haisemi mkiwa hapo muwe kwa ajili ya kulinda kura. Kwa hiyo watu wakae mita hizo mia mbili ila polisi wakija wasiseme tupo hapa tunalinda kura hata kama mioyoni mwao lengo ni kulinda kura.

Tutasema tunasubiri matokeo
 
Tunajua baadhi ya maeneo hapa Dar ni ya msongamano kiasi c rahisi kutembea hata mita 20 bila kukuta nyumba. Sasa ikiwa kuna nyumba za kuishi ndani ya mzunguko wa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura kilipo, sheria inasemaje?
 
Niwapongeze kwa hatua hiyo muhimu kwa ukombozi wa wanajamii wanaotawaliwa kibabe na kuporwa haki zao. Binafsi naamini vichwa vya wakombozi wetu. Pambana makamanda tuko nyuma yenu.....
 
Sheria ukiisoma lazima usome na sheria zingine.Sheria nyingi hazisimami peke yake.Kwa mfano kama kuna sheria ina sema mtanzania yuko huru kwenda popote.Usije ukasema inasema naweza kwenda popote ikiwemo msikitini mfano wewe ni mkristo ukaenda msikitini na viatu sababu kuna sheria inasema ruksa kwenda popote.Inabidi ujue na sheria zingine KUWA SALAMA.

Nahisi unachanganya sheria za nchi na mambo ya kidini.
Kila sheria ina mipaka yake na mipaka huwekwa na vyombo vyenye mamlaka hayo na hufuata taratibu husika. hakuna aliye juu ya sheria.
 
Sheria ukiisoma lazima usome na sheria zingine.Sheria nyingi hazisimami peke yake.Kwa mfano kama kuna sheria ina sema mtanzania yuko huru kwenda popote.Usije ukasema inasema naweza kwenda popote ikiwemo msikitini mfano wewe ni mkristo ukaenda msikitini na viatu sababu kuna sheria inasema ruksa kwenda popote.Inabidi ujue na sheria zingine KUWA SALAMA.

Ongea vizuri tukuelewe. Hiyo sheria inasema Mtanzania yeyote yupo huru KWENDA popote au KUINGIA popote?? Msikitini HAWAINGII wakiwa wamevaa viatu lakini WANAKWENDA msikitini wakiwa wamevaa viatu. Au mwenzetu unaenda msikitini peku peku?
 
Nguli wa Nini Hana Unguli Wowote huyo Kwa Vikesi Mbuzi Hivi Ndio Nguli???😂😂😂
 
Haihitaji sheria kufahamu kwamba pakiwepo na ya kukaa au kupita mahali haina maana chama kipange kusanyiko hapo
 
Jaribuni Na Kibri Chenu Cha Kijinga Tuone Kama Huyo Mbowe Atakuja Wasaidia Deki Vyoo vya Selo Asubuhi
 
Back
Top Bottom