Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Its a good move but kwa serikali ya ccm yenye kutoa mwongozo hata kwa mahakama sitegemei jipya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wala liberal approach haihitajiki kwani kifungu kipo wazi kabisa kuwa kukaa mita mia mbili toka sehemu ya kupigia kura sio kosa. Ila haisemi mkiwa hapo muwe kwa ajili ya kulinda kura. Kwa hiyo watu wakae mita hizo mia mbili ila polisi wakija wasiseme tupo hapa tunalinda kura hata kama mioyoni mwao lengo ni kulinda kura.
bahati mbaya kakutana na taasisi yenye akili kuliko waowatumiawakuu safari hii jaji lubuva ataomba pooo
Watakutana na wanasheria nguli wa serikali ndipo tutaona ukweli,hapo ni hoja ndito zitawapa ruhusa kulinda kura napo bado ni ngumu
Utabiri wangu unakaribia kutimia.
Msishange Mahakamu Kuu ikaamua kuahirisha uchaguzi mpaka hukumu itakapotolewa pamoja na shauri hilo kufunguliwa kwa hati ya dharura.
Kumbuka mawakili wa serikali/Tume lazima nao waandae utetezi na usishangae wakaomba muda kuandaa utetezi huoKwa lipi ?
Wafungua shauri wahakuomba uahirishaji wa Uchaguzi nani aje na hoja hiyo?
Joto la Nchi kisiasa limekwisha panda kwa kiasi kikubwa sana!
Kama Mahakama nayo itaingia Mtego wa Serikali CCM juu yao! Maana ni Majuzi tu majeraha ya Escrow haijaisha.
Ukiacha hali Mabilioni ya pesa zimekwisha tumika mpa sasa ,pamoja na hali tete ya Uchumi na ukame unaonyemelea kila kona ya Nchi-itakuwa kosa la mwaka kama Jaji yoyote atafikiria na kuruhusu mianya ya aina hiyo.
KATIBA MPYA WAMEIFINYANGA FINYA SASA IMEBAKI HAINA MWENYEWE HADI KWENYE UCHAGUZI HAYA SIKU 11 SIYO MBALI
Kwa hiyo shida ni kusema tunalinda KURA basi? Nawashauri CHADEMA/UKAWA wasiseme tunalinda KURA na wasiende kukaa umbali wa mita 200 tunatakiwa tusimame mita moja. Kila mwana UKAWA awahi kituoni mapema kwenye mstari lakini asipige KURA inapokaribia zamu yake arudi nyuma mpaka wana ccm wote, wazee na wanawake wamalize ndipo mafansi wa UKAWA wapige KURA cha kuzingaatia ni kuhakikisha kuwa kwenye foleni kabla ya muda wa kufunga vituo. Maana CCM wameandaa vurugu ili serikali ya 2015/20 iwe ya mseto na KWA KUMPA lOWASA UWAZIRI MKUU tuwe makini sana na hawa jamaa.