Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waseme tupo hapa kusubilia matokeo nani alieshinda au itakuwa kosa vitatembea virungu
nimesikia leo wanasema kusubiria matokeo ni kuweka mkusanyiko usio na kibari!
nimesikia leo wanasema kusubiria matokeo ni kuweka mkusanyiko usio na kibari!
Usichokijua ni kuwa sheria ya Uchaguzi inasema siku ya kupiga kura hakutakuwa na mikusanyiko ya kisiasa.Mikusanyiko yote ya kisiasa mwisho wake ni siku ya mwisho wa kampeni ambayo ni tarehe 24 octoba 2015.Ukikusanya watu wako siku hiyo ya uchaguzi wawe wana UKAWA au CCM wakajikusanya mahali ni kosa kisheria.
Pili kwa mujibu wa sheria zinazohusu mikusanyiko ni lazima kutoa taarifa polisi kuwa kutakuwa na mkusanyiko mahali fulani na kwa lengo gani. Hivyo kama kurtakuwa na watu wenye lengo la kukusanyika popote inabidi wawasilishe maombi yao polisi wakijieleza wao ni akina nani ili wapewe ulinzi wa polisi
Tatu kuna sheria ya ardhi.Unaposema utakusanyika hapo kwenye mita 200 hilo eneo ni mali ya baba yako au mama yako? Huyo mwenye miliki ya hiyo ardhi karidhia? Hivyo kama kuna watu watakaotaka kukusanyika ni lazima wapeleke kibali cha mwenye eneo kuwa karidhia eneo lake litumike kwa mikusanyiko.Na kwamba mikusanyiko hiyo haitakuwa kero wala bugudha kwa wakazi wa eneo husika,majirani n.k Maana kama watu watajiamulia kukusanyika hiyo mita mia 200 bila mwenye eneo lake kuridhia ina maana ni uvamizi wa ardhi ya mtu bila ridhaa yake.Na huo ni uvunjifu wa amani kwenye eneo la watu.Hivyo Mahakama lazima iangalie maslahi ya wenye maeneo maeneo yao yasije vamiwa SIKU YA KUPIGA KURA NA KUKALIWA KWA MABAVU na hao wanaojiita walinda kura.
Polisi kwa kuliona hilo kuwa kutakuwa na uvunjaji sheria kwa watu kuvamia maeneo ya watu na kujikusanya wakasema kila mtu aende kwake asubirie kwake.Sababu vituo vya kupigia kura haviko mbali na makazi ya watu.Kwa nini watu wakae kwenye viwanja vya watu? Mahakama iliangalie hilo
Kwangu sikubali mtu akusanyike WALA KUWEKA MAKALIO YAKE KWENYE ENEO LANGU NITAITA DEFENDER NA GARTI LA WASHA WASHA HARAKA WAJE NA MABOMU NA VIRUNGU WAONDOE WAVAMIZI KWENYE ENEO LANGU.
Hawa akina KIBATALA wanataka kuleta vurugu na ugomvi kati ya wenye maeneo na hao watu anaotaka wakusanyike hizo mita mia mbili sababu sio kwao ni kwa watu.
Eti bila haya lowasa na mbowe wanatoa amri mkimaliza kura kaeni mita 200.Hilo eneo wanaloamrisha watu wakae ni la baba yake au mama yake lowasa au mbowe.Sheria ya ardhi iheshimiwe majaji msimamie hilo kwa maslahi ya wenye maeneo yao.Mkiwakubalia mnawaweka wenye maeneo matatizoni.
Ukiwa na mtoto sijui anajiita UKAWA ni bora ukabadilishana na Lowassa akakupa kuku unywe mchuzi.Ili awe anamdekia barabara na kulinda kura.Yaani mtu asifanye kazi akakae kituoni anamlindia KULA Fred Lowassa.AKILI AU TOPE???!!Huyu Kibatala yupo kazini nadhani analipwa na FISADI LOWASSA.
ccm Maji ya shingo sasa Kila mbinu hoi mpaka Lubuva anajuta kuwa mwenyekiti Wa tume mhhhh hali ngumu mwaka huu.
Nchi gani ulinzi unafanywa na mob.Mahakama isipotezewe muda.Polisi wafanye kazi zao.
..,
Kaa nyumbani kwako lakini sio kulinda kura.usitumie vibaya uhuru wako kwa kuhamishia UKAWA yote humo
Tumekwambia kua kurazetu lazima tulinde,mbona sikuzingine walikua hawajakomalia hivi?kuna nini nyuma ya pazia?nikuulize kitu hao mapolisi mnaotegemea kwani umeambiwa wauza petrololi nao watafungiwa?ngoma droo subiri uone.
Tumekwambia kua kurazetu lazima tulinde,mbona sikuzingine walikua hawajakomalia hivi?kuna nini nyuma ya pazia?nikuulize kitu hao mapolisi mnaotegemea kwani umeamua wauza petrololi nao watafungiwa?ngoma droo subiri uone.
Vita imenoga,man to man,kona to kona,mpaka wakubali ha ha ha