Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

Nashukuru leo nimepima mita 200 toka kituo changu cha kupigia kura hatua zimeishia bar.Hapo itakua mwendo wa bia huku nalinda kura.

Daaa sasa utakuwa chakaliii na utaibiwa mkuu...bia na ulinzi tena!
 
Chadema kwa kulalamika,angekuwa mke angeachika siku ya ndoa
 
Chadema kwa kulalamika,angekuwa mke angeachika siku ya ndoa
Nyerere aliwahi kusema "Wamarikani wanatulaumu kwa kuwa Makondoo kwa kukubali kila kitu tunachoambiwa na Warusi, lakini na wao wanataka tukubali kila wanalo tuambia, sisi tumekataa kuwa kondoo Kwa mtu yeyote" Kukaa kimya bila ya kulalamika kwa mabaya unayotendewa ni UKONDOO!!
 
Saafi saana UKAWA ninyooshee hao wanaotaka kupindisha sheria
 

Tutasema tunasubiri matokeo
 
Tunajua baadhi ya maeneo hapa Dar ni ya msongamano kiasi c rahisi kutembea hata mita 20 bila kukuta nyumba. Sasa ikiwa kuna nyumba za kuishi ndani ya mzunguko wa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura kilipo, sheria inasemaje?
 
Niwapongeze kwa hatua hiyo muhimu kwa ukombozi wa wanajamii wanaotawaliwa kibabe na kuporwa haki zao. Binafsi naamini vichwa vya wakombozi wetu. Pambana makamanda tuko nyuma yenu.....
 

Nahisi unachanganya sheria za nchi na mambo ya kidini.
Kila sheria ina mipaka yake na mipaka huwekwa na vyombo vyenye mamlaka hayo na hufuata taratibu husika. hakuna aliye juu ya sheria.
 

Ongea vizuri tukuelewe. Hiyo sheria inasema Mtanzania yeyote yupo huru KWENDA popote au KUINGIA popote?? Msikitini HAWAINGII wakiwa wamevaa viatu lakini WANAKWENDA msikitini wakiwa wamevaa viatu. Au mwenzetu unaenda msikitini peku peku?
 
Nguli wa Nini Hana Unguli Wowote huyo Kwa Vikesi Mbuzi Hivi Ndio Nguli???😂😂😂
 
Haihitaji sheria kufahamu kwamba pakiwepo na ya kukaa au kupita mahali haina maana chama kipange kusanyiko hapo
 
Jaribuni Na Kibri Chenu Cha Kijinga Tuone Kama Huyo Mbowe Atakuja Wasaidia Deki Vyoo vya Selo Asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…