Milvik Tanzania
Member
- Jun 15, 2026
- 7
- 6
Habari za kazi wakuu,
Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata hitilafu ghafla? Kusimama kwa kifaa kimoja kunamaanisha kupoteza mapato.
Sisi Milvik Tanzania tunaleta suluhisho la uhakika kwa makampuni kupitia huduma yetu ya SimProtect.
Tuko tayari kushirikiana na kampuni yako (Corporate/B2B partnerships) kulinda vifaa vyenu vya kazi ili kuhakikisha biashara haisimami. Kupitia ushirikiano huu, tunatoa:
Wasiliana nasi kwa ajili ya B2B deals na ushirikiano wa kikampuni:Bofya hapa kuacha maelezo yako na timu yetu itawasiliana nawe: 👉 Milvik B2B Insurance & Support
Soma zaidi kuhusu jinsi SimProtect inavyofanya kazi hapa: Milvik SimProtect
Tuko tayari kusaidia biashara yako iendelee kidijitali salama!

- Msaada na ulinzi wa vifaa vya kidijitali (E-device support) dhidi ya majanga mbalimbali.
- Gharama nafuu za vifurushi vya ulinzi zilizoundwa maalum kwa ajili ya mahitaji ya biashara yako.
- Urahisi wa kupata matengenezo au mbadala ili timu yako irudi kazini haraka iwezekanavyo.