Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope."
Soma Ezekieli Sura ya 1.
Soma Ezekieli Sura ya 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya uelewa wako.Manoa, baba yake Samson, aliwahi kuonana na malaika (Manoa) akiwa shambani na mke wake. Manoa alimuuliza jina malaika kuwa anaitwa nani. Malaika naye akamuuliza swali Samson akasema "why do you want to know my name? It's beyond understanding"!.
Nimekwoti lugha nyingine hapa kwa sababu maneno "It's beyond understanding" hayana tafsiri inayolandana nayo vizuri katika lugha ya Kiswahili
Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope."
Soma Ezekieli Sura ya 1.
View attachment 2137785View attachment 2137787View attachment 2137790View attachment 2137792View attachment 2137793View attachment 2137794View attachment 2137795
Labda watakuwa wanayatumia wakifika kwenye anga letuFix tu..😂
Eti wanamabawa hayo mabawa wanayatumia na huko kwenye vacuum au..?
Eti wanatisha! Sasa wanatisha nani hiyo ndo kazi yao au..?
Ila kuna tofauti kidogo kati ya "it's beyond your understanding" na "it's beyond understanding".Nje ya uelewa wako.
😂 SeriousLabda watakuwa wanayatumia wakifika kwenye anga letu
Kaweka mifupa na nyoya.Ongezea na nyama kidogo
Hawana miili. Ni rohoMungu aliviumba vimtukuze, malaika wengine ni kama burning fire.
Maumbo yao hayaelezeki,ndio maana kuna manabii wanaita viumbe/wanyama yaani walishindwa kuvielezea namna vilivyo.
Wee jamaa bhanaFix tu..[emoji23]
Eti wanamabawa hayo mabawa wanayatumia na huko kwenye vacuum au..?
Eti wanatisha! Sasa wanatisha nani hiyo ndo kazi yao au..?
[emoji23][emoji23][emoji23]hata huyo Lutu angekimbia piaMalaika ni roho hivyo hawana maumbo maalum, ila huamua kuvaa umbo lolote wanapowatokea wanadamu kulingana na jambo lililowaleta.
Kipindi cha sodoma na gomora walipoenda nyumbani kwa Lutu walitamaniwa na wanaume; ingekua walivaa maumbo ya kutisha kila mtu angekimbia.
Kwenye maono Ezekieli aliwaona wakiwa kwenye hali zao halisi.Malaika ni roho hivyo hawana maumbo maalum, ila huamua kuvaa umbo lolote wanapowatokea wanadamu kulingana na jambo lililowaleta.
Kipindi cha sodoma na gomora walipoenda nyumbani kwa Lutu walitamaniwa na wanaume; ingekua walivaa maumbo ya kutisha kila mtu angekimbia.
Roho zinakaumbo, ni vile tu hatuwezi kuzing'amua.Hawana miili. Ni roho