Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana.

Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana.

Malaika ni roho hivyo hawana maumbo maalum, ila huamua kuvaa umbo lolote wanapowatokea wanadamu kulingana na jambo lililowaleta.

Kipindi cha sodoma na gomora walipoenda nyumbani kwa Lutu walitamaniwa na wanaume; ingekua walivaa maumbo ya kutisha kila mtu angekimbia.
unadhani hiyo spirit haina umbo mbele za Mungu?
ninachohisi malaika hawana maumbo kwetu sisi wa macho nyama ila katika ulimwengu wa kiroho wanayo ndiyo maana wana majina yao idents zao.
 
Back
Top Bottom