Malaika ni roho hivyo hawana maumbo maalum, ila huamua kuvaa umbo lolote wanapowatokea wanadamu kulingana na jambo lililowaleta.
Kipindi cha sodoma na gomora walipoenda nyumbani kwa Lutu walitamaniwa na wanaume; ingekua walivaa maumbo ya kutisha kila mtu angekimbia.