Kulingana na itifaki ya sensa nawaza Je hili linasemaje maana kukaa bila ajira kwa kijana ni kulemaza uwezo wa kufikiri....

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia kama kiitifaki ya sensa2022 inaruhusu......
 
Kwahiyo izo wliaya hazina watu wengi
 
Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia kama kiitifaki ya sensa2022 inaruhusu......
Punguza wenge babu
 
Mkuu

Hawa watumishi wana tia aibu sana hasa walimu ndio wamezijaza hizi nafasi

Ila kuna mkakati wa kuwakata unaendelea ukipita kwenu basi fighting chance unayo

And yes mmekimbilia sana mijin

Vijijin watu ni wachache mnoo ni kitendo cha kumpanga WEO au MEO wa icho kijiji husika anamuelezea bila shida yeyote hali halisi anakuweka bila hiyana

Nikuombee upate mkuu
 
Sasa WEO anawezaje kukupanga wakati majina yote yaliyohakikiwa vyeti yamerudishwa tena Halmashauri kwa hatua zinazofatia.
 
Mchujo wote umefanyika kata kule halmashauri wamepelekewa kama utaratibu ulivyo na wao watapeleka mkoani. na mwisho NBS
Hakuna kata iliyofanya mchujo hata moja, kilichokuwa kinafanyika ni uhakiki wa vyeti na kisha kuyarudisha majina yaliyohakikiwa ya wasailiwa Halmashauri kwa ajili ya hatua nyingine.
 
Back
Top Bottom