Kwahiyo izo wliaya hazina watu wengiNipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia kama kiitifaki ya sensa2022 inaruhusu......
Huyo jamaa ana wenge mnoKwahiyo izo wliaya hazina watu wengi
Punguza wenge babuNipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia kama kiitifaki ya sensa2022 inaruhusu......
😂 Hawa ndo wale wanaojinyonga mambo yakiwaendea vibaya.We jamaa fighter sana ..
Huyo jamaa ana wenge mno
Ukiwa umeshiba huwezi kuzi-feel hustling za mwenzako anafanya hivyo kutokana na maisha usimkebehi!Punguza wenge babu
Daaah! Hivi kuna neno lolote la kumkebehi hapo? Kumueleza hali halisi ndio imekuwa kebehi?Ukiwa umeshiba huwezi kuzi-feel hustling za mwenzako anafanya hivyo kutokana na maisha usimkebehi!
Uliposema punguza wenge (kwamba aache kuweweseka) ulidhani umemfariji?always aliyeshiba ndo hutoa ushauri kama huo mwenye njaa mwenzake asingemwambia hivi.Daaah! Hivi kuna neno lolote la kumkebehi hapo? Kumueleza hali halisi ndio imekuwa kebehi?
Kama unaona nimekosea kwa mtazamo wako basi niwie radhi ndugu yangu, kwani sote humu tunajenga nyumba moja.Uliposema punguza wenge (kwamba aache kuweweseka) ulidhani umemfariji?always aliyeshiba ndo hutoa ushauri kama huo mwenye njaa mwenzake asingemwambia hivi.
Unaona umemuelewesha eti?
Sasa WEO anawezaje kukupanga wakati majina yote yaliyohakikiwa vyeti yamerudishwa tena Halmashauri kwa hatua zinazofatia.Mkuu
Hawa watumishi wana tia aibu sana hasa walimu ndio wamezijaza hizi nafasi
Ila kuna mkakati wa kuwakata unaendelea ukipita kwenu basi fighting chance unayo
And yes mmekimbilia sana mijin
Vijijin watu ni wachache mnoo ni kitendo cha kumpanga WEO au MEO wa icho kijiji husika anamuelezea bila shida yeyote hali halisi anakuweka bila hiyana
Nikuombee upate mkuu
Sio wenge, mpe sifa yake. Ni mpambanaji Sana.Punguza wenge babu
Ukisemacho ni kweli kupambana kupo lkn sio kwa mtindo anaotaka kuufanya yeye, hii haina tofauti na betting, lolote linaweza kutokea kinachotakiwa hatutakiwi kukata tamaa kwani bado kuna harakati/maisha baada ya hili zoezi la Sensa.Sio wenge, mpe sifa yake. Ni mpambanaji Sana.
Hakuna linaloshindikana mzeeSasa WEO anawezaje kukupanga wakati majina yote yaliyohakikiwa vyeti yamerudishwa tena Halmashauri kwa hatua zinazofatia.
Mchujo wote umefanyika kata kule halmashauri wamepelekewa kama utaratibu ulivyo na wao watapeleka mkoani. na mwisho NBSSasa WEO anawezaje kukupanga wakati majina yote yaliyohakikiwa vyeti yamerudishwa tena Halmashauri kwa hatua zinazofatia.
Hakuna kata iliyofanya mchujo hata moja, kilichokuwa kinafanyika ni uhakiki wa vyeti na kisha kuyarudisha majina yaliyohakikiwa ya wasailiwa Halmashauri kwa ajili ya hatua nyingine.Mchujo wote umefanyika kata kule halmashauri wamepelekewa kama utaratibu ulivyo na wao watapeleka mkoani. na mwisho NBS