Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine.
Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika.
Vijana Sasa wanazidi kujumuishwa kwenye mipango ya maendeleo lakini pia amani ya mioyo imerejea. Binafsi ni mhanga wa siasa za awamu ya Tano kwani mambo yangu mengi yalikwama kutokana na sera na mfumo mbaya wa uongozi wa awamu Ile ya Tano.