Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Weye wakomeshe. Inua chombo cha asali uinywe. Kuilamba unachelewa kupata siha njema!Walamba asali katika ubora wao.
Najua unaumia kuondokewa na JPM lakini nakuomba tu mkuu ukubaliane na hali maana dunia ndiyo ilivyo.Kuupiga mwingi kama ilivyo kufurahia unachojisikia ni mtazamo na hisia binafsi. Ninauheshimu. Ila sasa ili kumsaidia Mama tuhakikishe wanaokiri anaupiga mwingi wawe walau watanzania zaidi ya milioni 25. Halafu ili la kumlinganisha na JPM awamu ya tano ni kummaliza tu Mama kisiasa.
Mama Rais Samia abarikiwe sanaWakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine.
Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika.
Vijana Sasa wanazidi kujumuishwa kwenye mipango ya maendeleo lakini pia amani ya mioyo imerejea. Binafsi ni mhanga wa siasa za awamu ya Tano kwani mambo yangu mengi yalikwama kutokana na sera na mfumo mbaya wa uongozi wa awamu Ile ya Tano.
Najua unaumia kuondokewa na JPM lakini nakuomba tu mkuu ukubaliane na hali maana
Kuumia hapana,kifo ni hakika kwa kila chenye uhai,ninamkumbuka tu mnapolinganisha awamu kwakuwa yapo mema ya awamu ya 6 kama ambavyo yapo ya awamu nyingine. Ndio maana Mama yetu Samia aliwahi sema ataenzi na kuendeleza mema ya awamu zote.Najua unaumia kuondokewa na JPM lakini nakuomba tu mkuu ukubaliane na hali maana dunia ndiyo ilivyo.
Unajua maana ya milele?Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine.