SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Alipopewa ujaji Kiongozi tu nikajua Mbowe atapotezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipopewa ujaji Kiongozi tu nikajua Mbowe atapotezwa
Mkuu huu mchezo umetengenezwa hivi karibuni baada ya jamhuri kuona mwenendo wa huyu jaji wakamuwahi kabla hajasoma hukumu ndogo ya leo, kama asingepewa uteuzi naamini angekuwa na hukumu tofauti leo.Mkuu denooJ unayaona mambo ya kesi ya ngedere kala mahindi hakimu akiwa nyani?
Hukumu huwa mlalamikaji (yaani binadamu) apewe mbolea zaidi ili azalishe mahindi kwa wingi kwa ajili ya kuwatosheleza kwa chakula nyani, ngedere na yeye pia "in that order not the other way round."
Bila mihimili huru hakuna kutoboa.
Mkuu huu mchezo umetengenezwa hivi karibuni baada ya jamhuri kuona mwenendo wa huyu jaji wakamuwahi kabla hajasoma hukumu ndogo ya leo, kama asingepewa uteuzi naamini angekuwa na hukumu tofauti leo.
Ule uteuzi katikati ya kesi ndio ulioleta yote haya, toka mwanzo mpaka kufikia pale kusubiri hukumu ya kesi ndogo huyu jaji alikuwa anaenda vizuri kabisa, tatizo nahisi walimshtukia mwenendo wake wakaona wampoze na rushwa ya cheo.
Hukumu aliyosoma leo ni ya ajabu, ametumia maneno "kwa maoni yake" kwenye kila hoja aliyoanzisha badala ya kuangalia sheria inasema kitu gani, bado sijakata tamaa naamini haki haijifichi, siku zote huchomoza kama jua la asubuhi.
Kitendo cha Samia kutoa uteuzi kwa huyu jaji, nikiunganisha na ile interview yake BBC kwamba kuna ushahidi wa kumfunga Mbowe, napata picha halisi ya aina ya kiongozi tuliyenaye regardless ya jinsia yake na vilemba.
Fingers crossed.Mkuu bandiko langu lilikuwa hili. Kwenye red na green kuna husika zaidi (post #34):
View attachment 1980694
Ninakazia hatuna cha kushangilia, matumaini wala masikitiko kwa uamuzi wao wowote ule.