Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale.
Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu, nilikaa kwa kipindi cha masaa matano toka niingie maana kuna vipimo network walisema ilisumbua, nimependa mabadiriko ya entrance yao, nikaingia nikapata kadi kama zile tunazopata mlimani city.
Hamadi! Nafika geti la kutokea kuscan kadi, imesoma 5000! Kheeee.
Kuangalia ile risiti vzuri haina VAT wala malipo yyte ya TRA.
Ndugu zangu, huu utaratibu wa kulipa parking pale umeaanza lini? Kwa lengo gani? Je! Uliangalia gharama tunazozipitia tukiwa pale ndani? Au ndio, ukiwa na gari utaweza kulipa tu?
Nilienda na gari mbili, zote zilisoma 5000, na hata ya jamaa yangu, kijana mzito aliyekuja nisapoti ilisoma hivo hivo. Na iliyo mbele yetu ilisoma hivo.
Muhimbili dili hili la nani? Na kwanini muweke sehemu kama hiyo?