Kulipuka kwa Pagers/RadioCalls Lebanon ni pigo kubwa kwa sekta ya uchukuzi na usafirishaji duniani

Israel na US na Europe ni magaidi tu wameona Israel kashindwa vita na Hezbullah wakadhani kufanya hivyo watawatisha Hezbullah. Kesho kiongozi wa Hezbullah ataeleza kichapo watakacho mchapa Israel.
Wao wanaangalia maslahi yao. Hata sisi tukiwa siriasi na maslahi yetu tutaumia mbinu zozote kuhakikisha tuko salama na tunanufaika na kila tulichopewa na Mwenyezi Mungu.
 
Huo uwezo huwa anawapa watu wauutumie. Waafrika ni ushahidi wa binadamu wanaoteseka kwa kutotumia uwezo waliopewa na Allah kwa utoshelevu.
Ni ujinga unaoelekea kumalizika miaka si mingi ijayo.Serikali yetu isiwe na ulemavu wa kukandamiza vipaji vya raia wake.
 
Kobazi mkiambiwa acheni uchokozi dhidi ya myahudi hamumuwezi mnasema oooh!! Atatusaidia siku moja ona myahudi anaweza kukulipua kupitia smart phone yako, kupitia gari lako, kanzu yako mwenyewe
Mimi sina upande aisee. Nabalance kote kote. Maana hata Yemen ingependa kupiga Ikulu kwa Neta ingefanikiwa na hypersonic yao maana hakuna ADS iliyolibughudhi kombora lao. Kila mjanja anamipaka yake. Ila ukweli Israel na KAMPANI YAKE, WAARABU HAWAWAWEZI, WATAFUTE TU SHUGHULI NYINGINE ZA MAENDELEO WAFANYE.
 

Battery hata la smart watch ukikaa vby linakukata mkono..

Hatuwezi kuwa na uhakika hasa.. ni nini kilifanyika.. ila wameweza kuwatishia watu naona sahiv hata Tv watakuw wanaiogopa๐Ÿ˜…
 
Battery hata la smart watch ukikaa vby linakukata mkono..

Hatuwezi kuwa na uhakika hasa.. ni nini kilifanyika.. ila wameweza kuwatishia watu naona sahiv hata Tv watakuw wanaiogopa๐Ÿ˜…
Tech haina mmiliki. Kikubwa ni kuwa mtu mwema tu. Ndio maana Osama alikuwa anatumia kiswaswadu ila alidakwa ๐Ÿ˜ƒ
 
Hao majamaa Wana mbinu nyingi atakuja na nyingine, hilo la pagers limeisha, kesho atakuja na lisasi ukilifyatua linakugeukia mwenyewe
Kampuni ya Hungary iliyowauzia hesbullah hizo pagers ilianzishwa mwaka 2022. Kampuni ikiwa na mfanyakazi mmoja tu lakini ilijiingizia faida ya zaidi ya Bil 2. Hakuna sekretary, wala watu wa masoko, yaani inamtu mmoja tu kama mfanyakazi. Hapo wachambuzi wanaona kama ilikuwa ya mchongo. Kitu ambacho vijana wa vijana hayatollah hawakuwa makini kujua wanafanya biashara na nani au nani yuko nyuma ya hiyo kampuni.
Wale jamaa bado wanaoptions nyingi sana. Kuweka nchi kwa nguvu katikati ya maadui zako inabidi uwe na akili isiyo ya kawaida kusurvive.
 
Kiongozi kapona majeraha yake tayari?

Israel na US na Europe ni magaidi tu wameona Israel kashindwa vita na Hezbullah wakadhani kufanya hivyo watawatisha Hezbullah. Kesho kiongozi wa Hezbullah ataeleza kichapo watakacho mchapa Israel.
 
Inalipuka vizuri tu,wanazidisha mawimbi,kitu walete, lithium kwenye simu ni bomu
Muda si mrefu nilikuwa nawasikiliza wataalam kwenye TV moja hakuna cha mawimbi wala nini ni explosives zimetiwa kwenye device.
 
-Kifo Cha Rais wa Iran na waziri wa mambo ya nje
-Kifo Cha Haniyeh ndani ya nchi ya Iran
-Shambulio la kulipuka kwa vilipuzi ,
Haya matukio yote ni matokeo ya operation za kijasusi za Israel na kamwe huwezi sikia wanaongelea.
Ismail Haniya gaidi la Hamas lililipukiwa na dildo ambalo alikuwa akifanywa mambo meusi ya kimuhammad SAW na bodyguard wake. Intelijensia ya mossad achana nayo
 
๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ