matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Ni kweli.Hakuna Mbwa pale middle east anaweza kushindana na Israel 🇮🇱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.Hakuna Mbwa pale middle east anaweza kushindana na Israel 🇮🇱
Wao wanaangalia maslahi yao. Hata sisi tukiwa siriasi na maslahi yetu tutaumia mbinu zozote kuhakikisha tuko salama na tunanufaika na kila tulichopewa na Mwenyezi Mungu.Israel na US na Europe ni magaidi tu wameona Israel kashindwa vita na Hezbullah wakadhani kufanya hivyo watawatisha Hezbullah. Kesho kiongozi wa Hezbullah ataeleza kichapo watakacho mchapa Israel.
Ni ujinga unaoelekea kumalizika miaka si mingi ijayo.Serikali yetu isiwe na ulemavu wa kukandamiza vipaji vya raia wake.Huo uwezo huwa anawapa watu wauutumie. Waafrika ni ushahidi wa binadamu wanaoteseka kwa kutotumia uwezo waliopewa na Allah kwa utoshelevu.
Mimi sina upande aisee. Nabalance kote kote. Maana hata Yemen ingependa kupiga Ikulu kwa Neta ingefanikiwa na hypersonic yao maana hakuna ADS iliyolibughudhi kombora lao. Kila mjanja anamipaka yake. Ila ukweli Israel na KAMPANI YAKE, WAARABU HAWAWAWEZI, WATAFUTE TU SHUGHULI NYINGINE ZA MAENDELEO WAFANYE.Kobazi mkiambiwa acheni uchokozi dhidi ya myahudi hamumuwezi mnasema oooh!! Atatusaidia siku moja ona myahudi anaweza kukulipua kupitia smart phone yako, kupitia gari lako, kanzu yako mwenyewe
Umeandika kitaalam.
Ila ile pager ni ndogo sana kulinganisha na battery za simu kubwa tunazotumia.
Mtu mmoja kalipukiwa tumbo nusu limekatika, mwingine uso wote umefumuka. Wengine wanasema pamoja na ile battery zile pagers ziliwekewa vilipuzi saidizi kwenye baadhi ya zile IC zake. Ila zote ni conspiracy tu za wachambuzi. Hii naamini itakuwa inewarudisha nyuma sana
HESBULLAH Ila sio kuwakatisha tamaa maana wale wajomba wana resilience na uvulilivu wa juu sana kwenye mambo waliyoamua. Ila yote yanawezekana. Inawezekana walikuwa wanaandaa jambo baya zaidi wamewahiwa.
Tech haina mmiliki. Kikubwa ni kuwa mtu mwema tu. Ndio maana Osama alikuwa anatumia kiswaswadu ila alidakwa 😃Battery hata la smart watch ukikaa vby linakukata mkono..
Hatuwezi kuwa na uhakika hasa.. ni nini kilifanyika.. ila wameweza kuwatishia watu naona sahiv hata Tv watakuw wanaiogopa😅
Sasa hivi yupo na mabikra 72 tuKuna Gaidi mmoja alijiwekea Mlipuko wa Plastiki katika njia yake ya haja kubwa ili awalipue viongozi wake kwasababu wanashirikiana na "Makafiri" ule mlipuko ukalipuka kabla ya muda wake kwasababu ya Joto la njia ya haja kubwa huko Saudi Arabia.
Painful deathView attachment 3099814
Huyu Kijana keshakufa pale Hospitali.
Kampuni ya Hungary iliyowauzia hesbullah hizo pagers ilianzishwa mwaka 2022. Kampuni ikiwa na mfanyakazi mmoja tu lakini ilijiingizia faida ya zaidi ya Bil 2. Hakuna sekretary, wala watu wa masoko, yaani inamtu mmoja tu kama mfanyakazi. Hapo wachambuzi wanaona kama ilikuwa ya mchongo. Kitu ambacho vijana wa vijana hayatollah hawakuwa makini kujua wanafanya biashara na nani au nani yuko nyuma ya hiyo kampuni.Hao majamaa Wana mbinu nyingi atakuja na nyingine, hilo la pagers limeisha, kesho atakuja na lisasi ukilifyatua linakugeukia mwenyewe
Watakuwa wamevurugwa sana. Maana yake huwa wanasikilizwa pia.Leo huko hata SMS Tu walikua wanazikimbia.
Ugaidi ni mbaya sana, huko Nigeria Boko Haramu wanaua raia huko Somalia Alshababu wanaua raia huko Mali na Burkina Faso Al Qaida Maghribi wanaua sana raia huko Msumbiji Islamic States inaua sana raia nk.Painful death
Israel na US na Europe ni magaidi tu wameona Israel kashindwa vita na Hezbullah wakadhani kufanya hivyo watawatisha Hezbullah. Kesho kiongozi wa Hezbullah ataeleza kichapo watakacho mchapa Israel.
Inalipuka vizuri tu,wanazidisha mawimbi,kitu walete, lithium kwenye simu ni bomuLabda wachanganye na C4 lakini kwa Lithium pekee haiwezi kutengeneza milipuko kama ile tulioishuhudia huko Lebanon.
Muda si mrefu nilikuwa nawasikiliza wataalam kwenye TV moja hakuna cha mawimbi wala nini ni explosives zimetiwa kwenye device.Inalipuka vizuri tu,wanazidisha mawimbi,kitu walete, lithium kwenye simu ni bomu
Babu zinalipuka vizuri tu,hao wataalam washalipwa na kampuni za tech Ili watu wasione simu ni bomuMuda si mrefu nilikuwa nawasikiliza wataalam kwenye TV moja hakuna cha mawimbi wala nini ni explosives zinatiwa kwenye device.
Ismail Haniya gaidi la Hamas lililipukiwa na dildo ambalo alikuwa akifanywa mambo meusi ya kimuhammad SAW na bodyguard wake. Intelijensia ya mossad achana nayo-Kifo Cha Rais wa Iran na waziri wa mambo ya nje
-Kifo Cha Haniyeh ndani ya nchi ya Iran
-Shambulio la kulipuka kwa vilipuzi ,
Haya matukio yote ni matokeo ya operation za kijasusi za Israel na kamwe huwezi sikia wanaongelea.
🙏🙏Kwa upande wa tech.. inawezekana kucode multiple tasks ambazo zitapelekea simu au kifaa chochote kipoteze uwezo wake wa kawaida hasa wa kufunga programs na kulimit HEAT...
Sasa multiple programs zikifunguliwa kwa wakati mmoja kuna mawili yanatokea.
1- KUISHIWA CHARGE haraka na overheating
2- OVERHEATING na kulipuka.
Ndio maana simu za mchina hasa za zamani ukizitumia sana zinachemka (zikapewa jina la pasi)
Mdukuzi anaweza zimisha heating sensors na kuipachikia backdoor ambayo itarun multiple task, chombo kupata moto na kushindwa kujicontrol then kulipuka na ikifeli basi itadrain battery yotee..
Kwa uwezo wangu mdogo nafkir Shambulio lilijengwa ndani ya mizania hiyo..