Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mfumo wa kapu Moja la mgawanyo wa Rasilimali ndio shida.Hii nchi sijui shida hipo wapi yani kuwepo kwa mgodi mkubwa hapo geita na kiwango cha dhahabu inayotoka ni tofauti na mkoa wenyewe hapa geita mjini.
nyumba za ovyo kwa wananchi,mazingira mabovu hakuna mipango miji na matukio yaliyopo huku hakuna toofauti na kongo kule goma.
nimefika ila mpaka naona aibu yani ni kama mgodi hupo porini hapa geita mjini. boresheni geita ijivunie kinacho toka
Wala hakuna haja ya Majimbo,Kenya kuan Majimbo?Kwahiyo kila sehemu itumie chake sio? Serikali ya majimbo ndo suluhu, makusanyo yote yanakuja Dsm, then ndo kinaamuliwa kili kiende wapi!
Inaudhi sana.Hata hicho kinachoitwa csr ni upuuzi wa Hali ya Juu.Pesa zina enda kujenga dar,mwanza ,arusha na dodoma nyie mikoa mingine kuleni shisha tu na mlipekodi zenu zika jenge pengine..si mli kataa serikali ya majimbo.
Sema nazani serikali ni wakati sasa waache kuwekeza zaidi kujenga dar isha jaa
uwezi amini yani geita mjini mpaka fisi wapoBado hiyo almasi ya mwadui ila hali ya mkoa wenyewe sasa πππΎ
Mererani hata maji wanayokunywa aisee inatia huruma barabara mbovuMkuu usishangae βGeita Nenda Mererani kule Inapotoka βTanzanite ukashangae zaidi yani huwezi amini kama ndio sehemu pekee inayotoa madini hayo
Pesa zina enda kujenga dar,mwanza ,arusha na dodoma nyie mikoa mingine kuleni shisha tu na mlipekodi zenu zika jenge pengine..si mli kataa serikali ya majimbo.
Sema nazani serikali ni wakati sasa waache kuwekeza zaidi kujenga dar isha jaa
Kiufupi yani kule kila kitu kibovu yani,, usafiri shida yani ata stendi ya mabasi tu hakuna,Mererani hata maji wanayokunywa aisee inatia huruma barabara mbovu
Na kheri hali ya sasa, kuliko lilivyokuwepo jiji moja tu la Dar ndio maana watu wengi wakakimbilia huko.Mfumo wa kapu Moja la mgawanyo wa Rasilimali ndio shida.
Ndio maana hata Mbeya inachangia Pato la Taifa namba 3 ila Sasa kulivuo hakufananii na Trilioni 10 wanazotoa Kwa Taifa Kila mwaka.
Pesa zinachukuliwa na kujenga Dar,Arusha na Sasa Dom na Mwanza.
Kuna haja ya kuandika Upya kanuni ya mgawanyo wa Rasilimali za Taifa
πππ uoto na ikolojia asili,uwezi amini yani geita mjini mpaka fisi wapo
Kama strategy ingekuwa kujenga Majiji makubwa Kila Kanda tungeyaona,badala yake Serikali inajenga Dar,Dom na Arusha tuu ila kwingine watajijua.Na kheri hali ya sasa, kuliko lilivyokuwepo jiji moja tu la Dar ndio maana watu wengi wakakimbilia huko.
Nadhani ni bora tuwe na majiji makubwa hata matano ili watu waweze kupata huduma wanazozitaka kuliko kufikiria kukimbilia dar
Japo unalolisema ni la muhimu sana, Kama kila mkoa utafaidika na makusanyo yake bhasi hata hawa viongozi wa mikoa na majimbo watachangamsha akili kutafuta vyanzo vipya vya mapato ili kuyajenga maeneo yao. Ila hii ya kuitegemea serikali kuu ndio mzizi haswa wa kutegemea vyama na kujikomba kwa viongozi wakubwa ili wapendelewe.
Bottom line, je, serikali kuu itakuwa tayari kuukata huo utegemezi ambao kwa kiasi kikubwa unawapa nguvu kubwa kisiasa, mimi sijui ππ½
Yaani Arusha yenye mzunguko mkubwa wa pesa kushinda Mwanza na Dom ndio watu waache kujenga? Uko serious?Mhhh, hivi kuna watu bado wanaenda kujenga arusha! Bora ya Dar and Mwanza, Γ u dom na Morogoro
Yaani Arusha yenye mzunguko mkubwa wa pesa kushinda Mwanza na Dom ndio watu waache kujenga? Uko serious?
Umechelewa sana,Size ya Mwanza Kwa Sasa ni Mbeya manaa hata Kwa Dom haifikii.Arusha unaifananisha na Mwanza, kweli!