Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kiukweli ukiitoa kanda ya kati ambayo kutokana na hali yake kutokuvutia ukuaji wa kiuchumi haswa kwa wakati huo hadi the late Nyerere akaamua kuweka makao ya nchi ili paendelee..Nadhani Kanda ya ziwa wangedai uhuru wao ile Kanda inazalisha Dhahabu kuanzia Geita, Mwanza, Simiyu,Shinyanga hadi Mara .
Shinyanga ilikuwa na bado inazalisha Madini ya Almasi lakini Mkoa ni wa kipuuzi sana.
Bado Kanda ya ziwa wanaziwa Victoria inamaana kazi za uvuvi zinafanyika kwa wingi.
Bado Mkoa wa mara inambuga ya Serengeti.
NB: Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara, Shinyanga, Mbeya, Lindi, Arusha, Moshi,, Tanga haikupswa kuwa ilivyo Leo ni ujinga tu wa maccm.
Mikoa mingi tu in economic advantage kubwa mfano macho yetu sote yapo northern circuit ya utalii lakini ukiangalia hata southern circuit kuna vivutio na vyanzo vingi vya utalii. Bado kuna madini na kila kitu ila tu utegemezi kwa serikali kuu ndio tatizo huanzia
Kama alivyosema ChoiceVariable , tukifanya decentralization nzuri na mapato yakagawanywa kutokana na mahitaji na mapato ya mkoa husika, hiyo miji itaendelea
Hivyo, tukisema kila sehemu yenye potential ijiengue na kujitenga kama nchi, si ajabu Tanzania ikabaki na dodoma tu . Hivyo tiba sahihi ni kuzipa nguvu local government authorities kwenye kujiamulia kiasi