GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Bora utawala wa kimajimbo. Kila Jimbo liwe linaioatia Serikali kuu asilimia fulani, inayobaki itumike kwa maendeleo ya eneo husika.Mfumo wa kapu Moja la mgawanyo wa Rasilimali ndio shida.
Ndio maana hata Mbeya inachangia Pato la Taifa namba 3 ila Sasa kulivuo hakufananii na Trilioni 10 wanazotoa Kwa Taifa Kila mwaka.
Pesa zinachukuliwa na kujenga Dar,Arusha na Sasa Dom na Mwanza.
Kuna haja ya kuandika Upya kanuni ya mgawanyo wa Rasilimali za Taifa