Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

Kiukweli ukiitoa kanda ya kati ambayo kutokana na hali yake kutokuvutia ukuaji wa kiuchumi haswa kwa wakati huo hadi the late Nyerere akaamua kuweka makao ya nchi ili paendelee..

Mikoa mingi tu in economic advantage kubwa mfano macho yetu sote yapo northern circuit ya utalii lakini ukiangalia hata southern circuit kuna vivutio na vyanzo vingi vya utalii. Bado kuna madini na kila kitu ila tu utegemezi kwa serikali kuu ndio tatizo huanzia

Kama alivyosema ChoiceVariable , tukifanya decentralization nzuri na mapato yakagawanywa kutokana na mahitaji na mapato ya mkoa husika, hiyo miji itaendelea

Hivyo, tukisema kila sehemu yenye potential ijiengue na kujitenga kama nchi, si ajabu Tanzania ikabaki na dodoma tu . Hivyo tiba sahihi ni kuzipa nguvu local government authorities kwenye kujiamulia kiasi
 
Mambo ya kijinga kama haya ndio husababisha mashirika yetu yanakufa au ku under perform eg Tanesco,Dart nk

Kifaa kikihitakika au staff mpaka michakato ya kiserikali mara sheria kanuni nk urasimu mwingi.

Ona hii ya TPA Kwa mfano 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C29h0OfODKl/?igsh=MWF5dGJhc2Q1MmRjdg==
Jambo la kuchukua uamzi Kwa ngazi ya Wilaya linasubiria approval ya Wizara,mambo ya kijinga ndio maana hatuendelei.
 
Ndio maana vitu kama hivi nina miaka sivifuatilii maana vinatia hasira tu mkuu
 
vipi raia mzunguko wa ela upo?
 
Geita ni kama Kahama tu. Miji ipo ovyo ovyo tu kama vile hakujawahi kuwa na Mipango Miji. Wanachoambulia ni fedha na miundo mbinu kidogo inayotolewa na mabeberu wanaochimba dhahabu kupitia changa la macho liitwalo Corporate Social Responsibility (CSR).
 
Unaisingizia mwanza bureee.....saivi mgawanyo ni Arusha,Dodoma na dar
 
bora kahama ila geita ni pa ovyo nipo huku kikazi .kwanza usilinganishe geita na kahama bora ukasema kigoma na geita
 
Airport ya maana hamuna, ijekua nyota tano! Kuifananisha Mwanza na kaarusha ni kosa kubwa sana, uchadema unaifanya arusha isiendelee.
Usibishe mkuu bila uthibitisho.

Ni kweli kabisa, five stars hotels kwa hapa nchini zinaptikana mikoa miwili ambayo ni Dar Es Salaam na Arusha. Sijasema mimi, ni takwimu za Serikali.

Na ingeshangaza kwa Jiji la Arusha kukosa hoteli ya five stars. Ule ni mji wa kitalii. Si ajabu kuwa na hoteli kubwa kuzidi Mwanza.

Na Mwanza nayo ina uzuri wake. Tokea mwaka 2006 mpaka sasa, mikoa yangu pendwa ni Mwanza na Arusha.
 
Airport ya maana hamuna, ijekua nyota tano! Kuifananisha Mwanza na kaarusha ni kosa kubwa sana, uchadema unaifanya arusha isiendelee.
KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT ipo jirani na Jiji la Arusha. Sidhani kama Arusha inao uhitaji wa Airport kubwa wakati KIA si mbali nako.

Arusha Airport unatosheleza kwa ndege za kawaida. Madege makubwa yanatumia wa KIA.
 
Madini yamekuwa LAANA!
Mapesa yote serikalini HAWARUDISHI WALA KUJISIKIA AIBU KUBORESHA YANAPOTOKA!
HATA VIONGOZI GEITA WAKO KAMA MAZOMBIE!
Bure kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…