Uchaguzi 2020 Kulwa Mang'ana asitisha kutia nia ya ubunge Siha baada ya kupata ajali akienda kuchukua fomu

Huko hai anajulikana nyumbani kwake tu,mtu anaitwa mangana
 
Ana tamaa sana na hana huruma na vijana wasio na ajira wapo mwaka wa 5 mtaani hawana ajira ila yeye anaacha ajira anakimbilia siasa, huo ni mfano tu, wengine watafuata.
 
Hayo majina ni ya kusomea au? Maana yote ni ya kanda pendwa. Pole zake nyingi maana kazi ni kubwa sana huko Siha ila ndiyo chakani.
Haipendezi kwa kuwa kila binadamu anataka staha, lakini tungekutajia jina la mama yake mzaliwa wa Masama na baba yake na wote wako wanaishi.
 
Haipendezi kwa kuwa kila binadamu anataka staha, lakini tungekutajia jina la mama yake mzaliwa wa Masama na baba yake na wote wako wanaishi.
Haina tatizo Mkuu. Siku zote mimi natetea shemeji zangu kaskazini na iko wazi. Nilishangaa tu jina hilo maana sikuamini mtu wa mbali kusafiri kugombea ugenini?
 
Hahah we jamaa we we ni mmoja wa watu wanaochangamsha sana jukwaa kwa namna unavo andika
 
Inaweza kuwa ajali ya kawaida kabisa, ila sbb imetokea wakati anaenda kuchukua fomu ya ubunge basi ajali hiyo itadhaniwa imesababishwa na uchawi. Ni hisia tu.
 
Mang'ana si jina la kikurya hilo uchagani anafuata nini sasa
 
Hivi Kulwa ni mzaliwa wa Siha au wameshagawana nchi?

Na ndiyo maana umeona wenye Siha yao wametaka Kumaliza ' Biashara ' mapema tu Kwake ya Kumuwahisha ' Kaburini ' sema tu Israeli Kagoma.
 
Aache Ubwege siku nyingine asikate tamaa mapema kirahisirahisi namna hiyo yaani mlango tu kuchubuka ndio ameogopa?
 
Ninayoyaona huku niliko ni shida tupu. Kama kuna kipindi uganga unalipa ni hiki.
Hivi rafiki yangu Genta huna ujuzi wowote kuhusu hii kitu teyengeneze fedha?!?

Ujuzi pekee wa ' Kiuchawi ' nilionao Mkuu ni ule tu wa ' Kuiroga ' Yanga SC yako ili kila ikikutana tu na Simba SC iwe inapokea ' Kichapo ' cha Haja.
 
Ana tamaa sana na hana huruma na vijana wasio na ajira wapo mwaka wa 5 mtaani hawana ajira ila yeye anaacha ajira anakimbilia siasa, huo ni mfano tu, wengine watafuata.

Tena huyu nahisi huyo Mtu aliyetaka Kumpa ' Tiketi ' yake ya upesi kwenda Kuyaanza Maisha yake mapya ' Kaburini ' aliamua Kumuonea Huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…