GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Kwahiyo alikuwa amesafiri akiwa amevaa hilo shati?
Hahah we jamaa we we ni mmoja wa watu wanaochangamsha sana jukwaa kwa namna unavo andika
Inaweza kuwa ajali ya kawaida kabisa, ila sbb imetokea wakati anaenda kuchukua fomu ya ubunge basi ajali hiyo itadhaniwa imesababishwa na uchawi. Ni hisia tu.
Mang'ana si jina la kikurya hilo uchagani anafuata nini sasa
Aache Ubwege siku nyingine asikate tamaa mapema kirahisirahisi namna hiyo yaani mlango tu kuchubuka ndio ameogopa?
Mungu kaamua kughairi kumuita pahala pema, ila ni funzo kwa wengine.Tena huyu nahisi huyo Mtu aliyetaka Kumpa ' Tiketi ' yake ya upesi kwenda Kuyaanza Maisha yake mapya ' Kaburini ' aliamua Kumuonea Huruma.
😂😂Hasa ukiwa ni Mbobezi wa Uchawi, Uwongo, Unafiki, Uzandiki na Utapeli Uliotukuka Mkuu.
Labda baba aliolewa na mama wa kichaga wakuu, duh mmeiendea ki tribal.Sasa Mara hadi kwenda Kilimanjaro wapi na wapi Mkuu? Kwanini wenye ' Kilimanjaro ' yao wasiamue tu Kumalizana na ' Kirusi ' hicho mapema tu?
Mkuu GENTAMYCINE umesema yote kabisa. Yaani mtu una drive kwa speed kuwahi fomu Jimbo ambalo hata hajawahi kuchangia Mia.Na ndiyo maana umeona wenye Siha yao wametaka Kumaliza ' Biashara ' mapema tu Kwake ya Kumuwahisha ' Kaburini ' sema tu Israeli Kagoma.
Mkuu GENTAMYCINE umesema yote kabisa. Yaani mtu una drive kwa speed kuwahi fomu Jimbo ambalo hata hajawahi kuchangia Mia.
Kwani ukiwa mbunge unaacha kufundisha chuo?Why mtu uache kufundisha chuo ukawe mbunge?..sijawahi elewa
Kwani ukiwa mbunge unaacha kufundisha chuo?