Kumalizika kwa tembo wetu ni vita kamili kati ya askari wa wanyamapori na majangili, nguvu ya ushirikina

Kumalizika kwa tembo wetu ni vita kamili kati ya askari wa wanyamapori na majangili, nguvu ya ushirikina

So hats Waziri anatakiwa mshirikina hasa, ndio maana Waziri wetu walimtegea Twiga aisa,, hiyo wizara mi siikubari hata mkuu akiniteua
 
TANAPA wasipuuze wamtafute uyu bwana atawapa taarifa nyingi sana.
Unajua hata vita ya dawa za kulevya imefanikiwa kipindi hiki baada ya kupigana vita hiyo kiitelijensia zaidi. Yaani wakimjua mtu na hizo mambo wanakuja kumchukua akawape taarifa zaidi hata kama alisha acha muda mrefu. Tatizo letu tunapambana na ujangili kwa kutumia nguvu nyingi bila tija kama ilivyokua kwa Oparation Tokomeza ambayo iliumiza watu wengi wasio na hatia na kuwaacha wahusika halisi
 
Hili la ushirikina kwa majangiri ni kweli na mara nyingi huwa wanakingwa pia wasifuatiliwe na vyombo vya dola.Kuna jamaa anaitwa Lukas Jacob maarufu Mang'era anapatikana Tarime mjini,huyu bwana ni jangili aliyetukuka mbuga ya Serengeti na Mama yake mzazi ni mganga wa kienyeji,kuna kipindi alikuwa anawapa kinga vijana wawili akazuga kuwa eti anawakinga kwasababu wanaenda kuomba kazi ya uaskari wanyama pori.
Pia uyu Lukas Jacob ni mshirika mkubwa wa jambazi nguli Peter Zakaria na ukikutana na uyu jamaa ana makovu usoni na mwilini.Kama TANAPA wapo serious wamtafute uyu bwana atawapa mtandao mzima wa majangiri kanda ya ziwa.
Angalizo:sina chuki nae na nilichoeleza ni ukweli na nilimfahamu kupitia jamaa yangu ambaye ni askari mstaafu wa JWTZ.
Nimeitupia kwenye mtandao wa TANAPA thanks kwa UZALENDO wako Mkuu naaamin itasaidia kwa namna fulan
 
ushirikina upo na kuna dawa ambazo huyo fundi huwa anakuwa nazo na mara nyingi huzungushia eneo walipo game reserve wanapofika eneo husika huona kama majangiri yalikuwepo muda mfupi uliopita kumbe wapo hapo hapo wanawacheki.Hasara ya fundi mara nyingi kifo chake kutokana na hayo madawa aliochanjwa huanza kuoza kabla ya kufa mpaka mafunza yanaanza kutoka kinachofanyika kuna wimbo lazima aimbiwe ndiyo anakata roho
 
Nimeitupia kwenye mtandao wa TANAPA thanks kwa UZALENDO wako Mkuu naaamin itasaidia kwa namna fulan
Huyu MTU ni muhimu sana wakimpata na ni MTU hatari na nawashairi TISS pia wamuhoji kuhusu Peter Zakaria maana ni MTU wake wa karibu sana na anafahamu mambo mengi ya Zakaria.Pia kuna rafiki yake pia anaitwa Maiko Charamba yupo msati darajani njia ya kwenda Sirari,anachana mbao hapo kwake.Hawa watu ata ukienda polisi Tarime wanafahamika na walikuwa hawakamatwi kwa kinga ya Zakaria.Nilishatuma taarifa zao kwa Kamanda kanda maalumu Tarime tangu novemba 2017 lakini mpaka leo kimya.
 
Mkuu nakuhakikishia hizo ni story za vijiweni tu , swala la tembo kuwa sensitive na jangili hilo lipo kwenye Animal behavior and it's too common, swala la kusema ufanye ujangiri bila kujulikana nalo sio kweli kiuhalisia miaka ya nyuma kulikuwa na ushenzi mwingi unaofanyika huko ndani ya mbuga ambapo wakubwa wa huko kama ma Game park warden pamoja na rangers kushirikiana na watu wazito ndio waliokuwa wanafanikisha hiyo michezo ila ukirudi kwenye takwimu recently shughuli za ujangili zimepungua sana hata namba ya wanyama wakubwa kama Tembo imeongezeka kwa baadhi ya maeneo.
 
Katika utafiti wangu usio rasmi nimekutana na hoja nyingi kama hii yako mkuu. Kwamba kulikua na syndicate kubwa kati ya wafanyabiashara wakubwa wa nyara, maofisa wa Wizara husika, Game Park Warden na hao Rangers, hoja ambayo hata mimi naimini na kukubali

Pia umenikumbusha na jambo la animal behavior. Wale askari wa wanyama pori muda wao mwingi wanakua huko mpaka unahisi wamezoeana na hao wanyama. Kwa mtazamo wangu wa ki layman ni kama baadhi ya wanyama wanafahamu kwamba hawa askari wapo kwa ajili ya protection yao tofauti na wanavyokua sensitive kwa poachers

Hata hivyo mkuu haiondoi ukweli kwamba kuna njia zingine zinazotumika kuingia huko porini na kufanya ujangili na njia zingine zipo beyond explanation, maana niliowahi kuongea nao ni watu walioyaishi maisha hayo hata kama wewe huzimini. Kwa mtazamo wangu wewe unauwelewa mkubwa kuhusu mbuga zetu na uchafu uliokua unafanywa na waliokabidhiwa dhamana ya kulinda wanyama wetu. Na nadhani syndicate hizo ndio zilisababisha massive decrease ya wanyama kuliko hii ya pili.

Ila hata kama huta amini basi japo elewa tu kuna sayansi isioyoleaezeka ambayo inaendelea kuukumbatia uhalifu huo katika maeneo tofuti ya mbuga zetu japo yawezekana sio kwa kiwango kikubwa kama mwanzo
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tunakuomba uingilie kati!
Wanao uwa na wanao uza na wanao nunua WAKAFE WOTE WAO NA VIZAZI VYAO MILELE YOTE WALAHI!
With Almighty One speed!
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tunakuomba uingilie kati!
Wanao uwa na wanao uza na wanao nunua WAKAFE WOTE WAO NA VIZAZI VYAO MILELE YOTE WALAHI!
With Almighty One speed!
Hahahaaa mkuu, tuombe waache au wamalizike wao lakini sio vizazi vyao vijavyo maana havina makosa, na nasfsi moja isibebe dhambi ya nafsi nyingine
 
Hahahaaa mkuu, tuombe waache au wamalizike wao lakini sio vizazi vyao vijavyo maana havina makosa, na nasfsi moja isibebe dhambi ya nafsi nyingine
Acha wafe tu Maana hizo pembe zinatumika kiimani, hivyo ziwapige vizazi vyote mpaka hizo pembe ziwe HARAMU KWA MATUMIZI YA BINADAMU WALAHI!
 
Inasikitisha sana walahi!
Haswa hawa wachina na imani zao, acha tuwarushie LAANA tu walahi!
Dah! Wachina noma aisee, wakipata access ya kupora rasilimali zenu hawatawaachia hata mabua kama nyani ili angalau mlishie mifugo. Ni watu waharibifu sana na wasio na huruma
 
Katika utafiti wangu usio rasmi nimekutana na hoja nyingi kama hii yako mkuu. Kwamba kulikua na syndicate kubwa kati ya wafanyabiashara wakubwa wa nyara, maofisa wa Wizara husika, Game Park Warden na hao Rangers, hoja ambayo hata mimi naimini na kukubali

Pia umenikumbusha na jambo la animal behavior. Wale askari wa wanyama pori muda wao mwingi wanakua huko mpaka unahisi wamezoeana na hao wanyama. Kwa mtazamo wangu wa ki layman ni kama baadhi ya wanyama wanafahamu kwamba hawa askari wapo kwa ajili ya protection yao tofauti na wanavyokua sensitive kwa poachers

Hata hivyo mkuu haiondoi ukweli kwamba kuna njia zingine zinazotumika kuingia huko porini na kufanya ujangili na njia zingine zipo beyond explanation, maana niliowahi kuongea nao ni watu walioyaishi maisha hayo hata kama wewe huzimini. Kwa mtazamo wangu wewe unauwelewa mkubwa kuhusu mbuga zetu na uchafu uliokua unafanywa na waliokabidhiwa dhamana ya kulinda wanyama wetu. Na nadhani syndicate hizo ndio zilisababisha massive decrease ya wanyama kuliko hii ya pili.

Ila hata kama huta amini basi japo elewa tu kuna sayansi isioyoleaezeka ambayo inaendelea kuukumbatia uhalifu huo katika maeneo tofuti ya mbuga zetu japo yawezekana sio kwa kiwango kikubwa kama mwanzo

Challenge accepted.
 
Ndani ya miaka michache ijayo wanyama wengi wakubwa watabaki kua historia kua waliwahi ku exist
Wanyama wataisha huko parini na misitu ya asili itaisha.
Cha msingi ni hizo rasilimali kwa sasa zitumike kuwatajirisha watu kwa kiwango cha juu sana.

Wanyama wote watakua wanafugwa kama Ng'ombe. Kwa hiyo itakua rahisi kuendeleza kizazi cha tembo kwa kuwafuga kwenye zoo.

Ndio maana serikali inashauriwa ishirikiane na wawekezaji ili tuanze sasa kwa kufuga wanyama kabla hawajaisha huko porini.

Hii mambo ya kuzuia baadhi ya wanyama wasifugwe na watu binafsi ndio itasababisha wanyama hao kutoweka.

Hata Faru ingekua ni vyema wakifugwa ili waongezeke kwa wingi badala ya kuwaacha porini pasipo na ulinzi wa kutosha.

Hata misitu ya asili itaisha kwa kadri binadamu wanavyoongezeka. Cha msingi ni watu kupanda misitu yao ya wenyewe mbali na hizo za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom