Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
- #41
And together we should fight poachingThe future of wildlife is in our hands mkuu. š¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And together we should fight poachingThe future of wildlife is in our hands mkuu. š¤
Niliwahi msikia Mwalimu Nyerere akisema miaka mingi sana iliyopita wazungu walikua na natural resources kama vile mapori na mbuga kama hizi zetu lakini wakaiharibu jinsi sisi tunavyoharibu vya kwetu sasa hiviWanyama wataisha huko parini na misitu ya asili itaisha.
Cha msingi ni hizo rasilimali kwa sasa zitumike kuwatajirisha watu kwa kiwango cha juu sana.
Wanyama wote watakua wanafugwa kama Ng'ombe. Kwa hiyo itakua rahisi kuendeleza kizazi cha tembo kwa kuwafuga kwenye zoo.
Ndio maana serikali inashauriwa ishirikiane na wawekezaji ili tuanze sasa kwa kufuga wanyama kabla hawajaisha huko porini.
Hii mambo ya kuzuia baadhi ya wanyama wasifugwe na watu binafsi ndio itasababisha wanyama hao kutoweka.
Hata Faru ingekua ni vyema wakifugwa ili waongezeke kwa wingi badala ya kuwaacha porini pasipo na ulinzi wa kutosha.
Hata misitu ya asili itaisha kwa kadri binadamu wanavyoongezeka. Cha msingi ni watu kupanda misitu yao ya wenyewe mbali na hizo za asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kitu kaka kukaa kimya ni busara. Uwindaji ni elimu hakuna hata Tembo mmoja angeuawa maana askari wana elimu na vifaa vya kwa kisasa kuliko wawindaji haramu wenye silaha duni (Rifle/Gobore Mara chache SMG). Lakini kama alivyosema mleta mada Mara nyingi askari huambulia mizoga ya Tembo siku tatu au zaidi baada ya kuuawa. Mwindaji anajiandaa zaidi ya miezi 2 kwenda kuua Tembo mmoja, kabla ya hapo anakuwa amefuata au kuharibu masharti ya uwindaji Mara nyingi tu. Pori halina mwenyeji, kupotea ukikiuka masharti ni jambo la kawaida. Wawindaji HARAMU ni HARAMU hasa.hizo ni hekaya tu, ukienda kwa wavuvi utakutana na hekaya kama hizohizo. na sababu kuu ya kuwepo imani za kishirikina ni ukosefu wa elimu, siwatukani lakini ndio ukweli kuwa wawindaji haramu ni watu wenye upeo mdogo na akili finyu, waliokwenda shule kidogo ni ma boss wao ambao hata porini hawaendi.
Jumla ya maeneo ya nchi kavu ambayo yanalindwa (protected areas) tanzania ni kilomita za mraba 113,838 wakati eneo lote la nchi ambalo ni nchi kavu ni kilomita za mraba 886,676, hivyo utaona maeneo yanayolindwa ni 12.8% ya eneo lote la nchi kavu la nchi, hilo ni eneo kubwa sana kulilinda kwa idadi ya askari wa wanyama pori tuluonao na vifaa tulivyo navyo. ndio maana nchi zilizo endelea zinajitahidi kuunga mkono serikali katika kuyalinda hayo maeneo lakini bado kazi ni ngumu, hivyo majangiri bado wanafanikiwa kuua wanyama sio kwasababu "wana fundi" huo ni upuuzi wanaodanganyana wenyewe kwa wenyewe kutokana na akili zao finyu ila ukweli ni kwamba hatuna rasilimali za kutosha kuyalinda hayo maeneo kwa ufanisi.
Ni kweli wazungu nao walikua na rasilomali zao za asili lakini ziliisha.Niliwahi msikia Mwalimu Nyerere akisema miaka mingi sana iliyopita wazungu walikua na natural resources kama vile mapori na mbuga kama hizi zetu lakini wakaiharibu jinsi sisi tunavyoharibu vya kwetu sasa hivi
Matokeo yake hali ile ikishapotea haiwezekani tena kuirudisha. Akasema wazungu hawajui wafanye nini waeze kuirudisha waliyoiharibu mababu zao, na kwamba wamebakia kutuasa na kutushauri tulinde maliasili zetu ikiwemo misitu na wanyama tusije kua kama wao
Watalii wanakuja kwetu na kutupatia pato la kutosha kama taifa kwa kuona wanyama katika maeneo yao ya asili na hawafuati zoo au mabustani ya kuwafugia wanyama pori. maana nadhani wanyama pori wanaofugwa wapo sehemu kadhaa duniani lakini hawavutii kama waliopo katika mazingira yao ya asili na pia ni gharama kubwa sana kuwatunza kwa kuwafuga
Kwahiyo mkuu tukishamaliza hizo rasilimali kwa uchoyo na ujinga wetu ndio hatuwzi tena kuirudisha hali ya awali
Niliwahi kuwasikia wawekezaji wa Dar es laam Zoo wakisema wao peke yao wasingeweza ku i maintain ile zoo bila msaada wa wahisani toka nje maana gharama za kuwahudumia wale wanyama wanaowafuga pale ni kubwa sana na viingilio wanavyokusanya kutoka kwa watu wanaokwenda kuwaona hao wanyama havikidhi hata budget ya siku tano ya kuwalisha wamyamauruhusu sehemu kama Zanzibar wanyama wa aina zote wafugwe na wawekezaji wa ndani. Twiga ,Tembo, Faru wapatikane Zanzibar kwa lengo la kulinda kizazi cha wanyama hao.
Mtu akimfuga Faru ni lazima kuna siku Faru huyo atazeeka na kufa basi atauza pembe yake.
Tatizo kuna wanyama ambao ni vigumu kwa mtu binafsi kuwafuga na nadhani pia utaratibu na sheria ya kuwafuga ni ngumu sana ;sio tu kuwafuga bali hata kuwa na ngozi yake ndani ni ishu.Niliwahi kuwasikia wawekezaji wa Dar es laam Zoo wakisema wao peke yao wasingeweza ku i maintain ile zoo bila msaada wa wahisani toka nje maana gharama za kuwahudumia wale wanyama wanaowafuga pale ni kubwa sana na viingilio wanavyokusanya kutoka kwa watu wanaokwenda kuwaona hao wanyama havikidhi hata budget ya siku tano ya kuwalisha wamyama
Ni tamaa yangu hili la kuwaruhusu watu wafuge hao wanyama liwe na tija ya kweli lakini kwa uwelewa wangu mdogo kuhusu masuala haya naamini tafiti za jambo hilo zilishafanyw na wasomi wetu na mamlaka husika, na pengine ikaonekana ni jambo ambalo linachangamoto nyingi, sina hakika na hilo mkuu
hizo ni hekaya tu, ukienda kwa wavuvi utakutana na hekaya kama hizohizo. na sababu kuu ya kuwepo imani za kishirikina ni ukosefu wa elimu, siwatukani lakini ndio ukweli kuwa wawindaji haramu ni watu wenye upeo mdogo na akili finyu, waliokwenda shule kidogo ni ma boss wao ambao hata porini hawaendi.
Jumla ya maeneo ya nchi kavu ambayo yanalindwa (protected areas) tanzania ni kilomita za mraba 113,838 wakati eneo lote la nchi ambalo ni nchi kavu ni kilomita za mraba 886,676, hivyo utaona maeneo yanayolindwa ni 12.8% ya eneo lote la nchi kavu la nchi, hilo ni eneo kubwa sana kulilinda kwa idadi ya askari wa wanyama pori tuluonao na vifaa tulivyo navyo. ndio maana nchi zilizo endelea zinajitahidi kuunga mkono serikali katika kuyalinda hayo maeneo lakini bado kazi ni ngumu, hivyo majangiri bado wanafanikiwa kuua wanyama sio kwasababu "wana fundi" huo ni upuuzi wanaodanganyana wenyewe kwa wenyewe kutokana na akili zao finyu ila ukweli ni kwamba hatuna rasilimali za kutosha kuyalinda hayo maeneo kwa ufanisi.[/QUOTE huna point