butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
TANAPA wasipuuze wamtafute uyu bwana atawapa taarifa nyingi sana.Dah! Mkuu hii ni hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANAPA wasipuuze wamtafute uyu bwana atawapa taarifa nyingi sana.Dah! Mkuu hii ni hatari sana
Unajua hata vita ya dawa za kulevya imefanikiwa kipindi hiki baada ya kupigana vita hiyo kiitelijensia zaidi. Yaani wakimjua mtu na hizo mambo wanakuja kumchukua akawape taarifa zaidi hata kama alisha acha muda mrefu. Tatizo letu tunapambana na ujangili kwa kutumia nguvu nyingi bila tija kama ilivyokua kwa Oparation Tokomeza ambayo iliumiza watu wengi wasio na hatia na kuwaacha wahusika halisiTANAPA wasipuuze wamtafute uyu bwana atawapa taarifa nyingi sana.
Nimeitupia kwenye mtandao wa TANAPA thanks kwa UZALENDO wako Mkuu naaamin itasaidia kwa namna fulanHili la ushirikina kwa majangiri ni kweli na mara nyingi huwa wanakingwa pia wasifuatiliwe na vyombo vya dola.Kuna jamaa anaitwa Lukas Jacob maarufu Mang'era anapatikana Tarime mjini,huyu bwana ni jangili aliyetukuka mbuga ya Serengeti na Mama yake mzazi ni mganga wa kienyeji,kuna kipindi alikuwa anawapa kinga vijana wawili akazuga kuwa eti anawakinga kwasababu wanaenda kuomba kazi ya uaskari wanyama pori.
Pia uyu Lukas Jacob ni mshirika mkubwa wa jambazi nguli Peter Zakaria na ukikutana na uyu jamaa ana makovu usoni na mwilini.Kama TANAPA wapo serious wamtafute uyu bwana atawapa mtandao mzima wa majangiri kanda ya ziwa.
Angalizo:sina chuki nae na nilichoeleza ni ukweli na nilimfahamu kupitia jamaa yangu ambaye ni askari mstaafu wa JWTZ.
Huyu MTU ni muhimu sana wakimpata na ni MTU hatari na nawashairi TISS pia wamuhoji kuhusu Peter Zakaria maana ni MTU wake wa karibu sana na anafahamu mambo mengi ya Zakaria.Pia kuna rafiki yake pia anaitwa Maiko Charamba yupo msati darajani njia ya kwenda Sirari,anachana mbao hapo kwake.Hawa watu ata ukienda polisi Tarime wanafahamika na walikuwa hawakamatwi kwa kinga ya Zakaria.Nilishatuma taarifa zao kwa Kamanda kanda maalumu Tarime tangu novemba 2017 lakini mpaka leo kimya.Nimeitupia kwenye mtandao wa TANAPA thanks kwa UZALENDO wako Mkuu naaamin itasaidia kwa namna fulan
Katika utafiti wangu usio rasmi nimekutana na hoja nyingi kama hii yako mkuu. Kwamba kulikua na syndicate kubwa kati ya wafanyabiashara wakubwa wa nyara, maofisa wa Wizara husika, Game Park Warden na hao Rangers, hoja ambayo hata mimi naimini na kukubaliMkuu nakuhakikishia hizo ni story za vijiweni tu , swala la tembo kuwa sensitive na jangili hilo lipo kwenye Animal behavior and it's too common, swala la kusema ufanye ujangiri bila kujulikana nalo sio kweli kiuhalisia miaka ya nyuma kulikuwa na ushenzi mwingi unaofanyika huko ndani ya mbuga ambapo wakubwa wa huko kama ma Game park warden pamoja na rangers kushirikiana na watu wazito ndio waliokuwa wanafanikisha hiyo michezo ila ukirudi kwenye takwimu recently shughuli za ujangili zimepungua sana hata namba ya wanyama wakubwa kama Tembo imeongezeka kwa baadhi ya maeneo.
Hahahaaa mkuu, tuombe waache au wamalizike wao lakini sio vizazi vyao vijavyo maana havina makosa, na nasfsi moja isibebe dhambi ya nafsi nyingineEhh Mwenye Enzi Mungu tunakuomba uingilie kati!
Wanao uwa na wanao uza na wanao nunua WAKAFE WOTE WAO NA VIZAZI VYAO MILELE YOTE WALAHI!
With Almighty One speed!
Acha wafe tu Maana hizo pembe zinatumika kiimani, hivyo ziwapige vizazi vyote mpaka hizo pembe ziwe HARAMU KWA MATUMIZI YA BINADAMU WALAHI!Hahahaaa mkuu, tuombe waache au wamalizike wao lakini sio vizazi vyao vijavyo maana havina makosa, na nasfsi moja isibebe dhambi ya nafsi nyingine
Acha wafe tu Maana hizo pembe zinatumika kiimani, hivyo ziwapige vizazi vyote mpaka hizo pembe ziwe HARAMU KWA MATUMIZI YA BINADAMU WALAHI!
Hahahaaa mkuu, msimamo mkali sana huoAcha wafe tu Maana hizo pembe zinatumika kiimani, hivyo ziwapige vizazi vyote mpaka hizo pembe ziwe HARAMU KWA MATUMIZI YA BINADAMU WALAHI!
Inasikitisha sana walahi!Hahahaaa mkuu, msimamo mkali sana huo
Dah! Wachina noma aisee, wakipata access ya kupora rasilimali zenu hawatawaachia hata mabua kama nyani ili angalau mlishie mifugo. Ni watu waharibifu sana na wasio na hurumaInasikitisha sana walahi!
Haswa hawa wachina na imani zao, acha tuwarushie LAANA tu walahi!
Katika utafiti wangu usio rasmi nimekutana na hoja nyingi kama hii yako mkuu. Kwamba kulikua na syndicate kubwa kati ya wafanyabiashara wakubwa wa nyara, maofisa wa Wizara husika, Game Park Warden na hao Rangers, hoja ambayo hata mimi naimini na kukubali
Pia umenikumbusha na jambo la animal behavior. Wale askari wa wanyama pori muda wao mwingi wanakua huko mpaka unahisi wamezoeana na hao wanyama. Kwa mtazamo wangu wa ki layman ni kama baadhi ya wanyama wanafahamu kwamba hawa askari wapo kwa ajili ya protection yao tofauti na wanavyokua sensitive kwa poachers
Hata hivyo mkuu haiondoi ukweli kwamba kuna njia zingine zinazotumika kuingia huko porini na kufanya ujangili na njia zingine zipo beyond explanation, maana niliowahi kuongea nao ni watu walioyaishi maisha hayo hata kama wewe huzimini. Kwa mtazamo wangu wewe unauwelewa mkubwa kuhusu mbuga zetu na uchafu uliokua unafanywa na waliokabidhiwa dhamana ya kulinda wanyama wetu. Na nadhani syndicate hizo ndio zilisababisha massive decrease ya wanyama kuliko hii ya pili.
Ila hata kama huta amini basi japo elewa tu kuna sayansi isioyoleaezeka ambayo inaendelea kuukumbatia uhalifu huo katika maeneo tofuti ya mbuga zetu japo yawezekana sio kwa kiwango kikubwa kama mwanzo
And thanks too mkuu for your very important insight into one of the real causes of alarming decrease of our wild animalsChallenge accepted.
And thanks too mkuu for your very important insight into one of the real causes of alarming decrease of our wild animals
Wanyama wataisha huko parini na misitu ya asili itaisha.Ndani ya miaka michache ijayo wanyama wengi wakubwa watabaki kua historia kua waliwahi ku exist