Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

Huko huko japan kuna ule uwanja wa mpira uliotumika kuchezewa fainali za kombe la dunia mwaka 2002. Viwanja vilikuwa vingi ila huo ulikuwa na jina baya kama huu mji. Wajapan wana majina ya ajabu kwa lugha yetu ya kiswahili , mtu anaitwa inamoto, kaisuki, junichiro, suzuki, honda
 
Kumamoto? Duh! Mbona ni matusi kwa sie waswahili? Itakuaje siku kiongozi wetu mkuu akafika japan katika mji huo, magazeti na tv zetu zitaandikaje mji huo?. Haya, shangaeni na huko ghana kuna kijiji kinaitwa kumansenu, ukumbuke na kenya kuna kambi ya wakimbizi inaitwa kakuma
MK254 wewe mkenya wa buza
 
Kula Ganja Kisha Beba Malaya Mnene Mwenye Surabaya, Tako Na Kumamoto.

Kula - Hawaii, USA
Ganja - Arzebaijan
Kisha - Russia
Beba - Hungary
Malaya - Malaysia
Mnene - Zimbabwe
Mwenye - Malawi
Tako - Japan
Surabaya - Indonesia
NA - North America
Kumamoto - Japan
 
Nakumbuka wimbo wa koffi olomide ulikuwa na kibwagizo kifananacho na "kumma inauma, kumah inauma"
Sasa sijui ndio alisema hivyo ama sisi masikio yalisikia vibaya, wataalam wa lingala mje hapa.
 
Kula Ganja Kisha Beba Malaya Mnene Mwenye Surabaya, Tako Na Kumamoto.

Kula - Hawaii, USA
Ganja - Arzebaijan
Kisha - Russia
Beba - Hungary
Malaya - Malaysia
Mnene - Zimbabwe
Mwenye - Malawi
Tako - Japan
Surabaya - Indonesia
NA - North America
Kumamoto - Japan
Acha matusi
 
Kumamoto? Duh! Mbona ni matusi kwa sie waswahili? Itakuaje siku kiongozi wetu mkuu akafika japan katika mji huo, magazeti na tv zetu zitaandikaje mji huo?. Haya, shangaeni na huko ghana kuna kijiji kinaitwa kumansenu, ukumbuke na kenya kuna kambi ya wakimbizi inaitwa kakuma
Kulitokea tetemeko huko watangazaji wa habari Utv waliogopa kutaja hilo jina
 
Back
Top Bottom