Hana mwisho mwemaZitto ni mshirika wa Ccm, na msisahau ni mjumbe wa kikosi kazi.
Asali imeshamnogea.
Mwisho wa ZK hautakuwa tofauti sana na wa MbatiaHii "Self"ni ya Seif Hamad, lilitumika na CUF Maalimu baada ya ugomvi na Lipumba.
Hii Maana yake nini Mnyika kutoa maelezo hayo kipondi hiki cha uzinduzi mjengo wa kifahari wa ACT?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kwamba mpaka sasa...
Ni ufafanuzi unaohitajika kwa wakati sahihi kuepesha kupotoshaHii
Hii Maana yake nini Mnyika kutoa maelezo hayo kipondi hiki cha uzinduzi mjengo wa kifahari wa ACT?
Chadema wameona wamebugi, wanajaribu kuzima kelel za wafuasi wao wanaoulizia mabilioni ya Sabadoo na ruzuku na join the chain yametumikaje. Mnyika alitakiwa akae kimya kibada kile cha Ufipa hakifanani mijengo ya viongozi wa Chadema, wenye akili watajua Chadema ni kikindi cha wapiga dili tu. Ndio maana wapo viongozi walipokosa ubunge wamekimboa Ulaya wanasubiri uchaguzi waje wagombee tena.
Hakuna upotoshaji hapo mkuu, Chadema kutokua na Ofisi inayolingana hadhi yake ni mfano mbaya kwa Upinzani, chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani kilitakiwa kifanye tofauti.Ni ufafanuzi unaohitajika kwa wakati sahihi kuepesha kupotosha
Hivi @AIPOLO hadhi ni sera na maono au ni vitu vya kifahari? Haya mambo ndio yametufikisha hapa kama taifa .. Mtu akishakuwa waziri basi apewe gari la mamilion kuonesha hadhi yakeHakuna upotoshaji hapo mkuu, Chadema kutokua na Ofisi inayolingana hadhi yake ni mfano mbaya kwa Upinzani, chama kinachojiita chama kikuu cha uponzani kilotakiwa kifanye tofauti.
Suala hapa hizo ruzuku, mamilioni ya Sabadoo na mapesa ya join the chain yamefanya nini, au yamechaapisha vitabu vya sera na kuvigawa kwa wanachama? Msichukulie kila anae hoji hili ni mpinzani wenu tu, wapo wanachama wa chadema wenye akili wanaongalia mambo kwa kutumia akili zao sio utetezi wa kina Mnyika.hadhi ni sera na maono au ni vitu vya kifahari?
Hizi sasa ni hoja nyingine nje ya mada husika.. Kama kuna ufisadi umefanyika anayethibitisha ni mkaguzi mkuu wa serikali.. Je CHADEMA wana hati chafu kwenye hili?Suala hapa hizo ruzuku, mamilioni ya Sabadoo na mapesa ya join the chain yamefanya nini, au yamechaapisha vitabu vya sera na kuvigawa kwa wanachama? Msichukulie kila anae hoji hili ni mpinzani wenu tu, wapo wanachama wa chadema wenye akili wanaongalia mambo kwa kutumia akili zao sio utetezi wa kina Mnyika.
No! Hoja ni ileile kwanini chama chenye umri zaidi ya miaka 30, chama amabacho kimesha pata mabilioni ya pesa, chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani bado kinaishi kwenye vibanda vichochoroni? Je chama hiki kipo serious kweli, au ni kindi cha wapiga dili tu?Hizi sasa ni hoja nyingine nje ya mada husika.. Kama kuna ufisadi umefanyika anayethibitisha ni mkaguzi mkuu wa serikali.. Je CHADEMA wana hati chafu kwenye hili?
Hizi sasa ni hoja nyingine nje ya mada husika.. Kama kuna ufisadi umefanyika anayethibitisha ni mkaguzi mkuu wa serikali.. Je CHADEMA wana hati chafu kwenye hili?
Nataka tuzungumzie kwa ithibati za nyaraka kaka haya mengine tutakuwa tunafanya hekaya, vyama vinakaguliwa hesabu zao za matumizi na hii kazi inafanywa na organ ya serikaliNo! Hoja ni ileile kwanini chama chenye umri zaidi ya miaka 30, chama amabacho kimesha pata mabilioni ya pesa, chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani bado kinaishi kwenye vibanda vichochoroni? Je chama hiki kipo serious kweli, au ni kindi cha wapiga dili tu?
Tindo sijui chochote kuhusu maisha yao binafsi na sidhani kama ni sahihi kufanya hivyo kwakuwa hata sisi sote maisha tuliyokuwa nayo huko nyuma miaka 10 iliyopita ni tofauti kabisa na sasaMshana uko sahihi, je viongozi wa juu wa CDM ndani ya hii miaka 10, majengo yao binafsi wanayomiliki kupitia kufaidika na CDM, bado ni duni kama hiyo ofisi yao ya makao makuu?
Umeisoma na kuielewa hoja ya Jamaa? Mbona ipo simple sana na kiswahili katumia chepesi?Nataka tuzungumzie kwa ithibati za nyaraka kaka haya mengine tutakuwa tunafanya hekaya, vyama vinakaguliwa hesabu zao za matumizi na hii kazi inafanywa na organ ya serikali
Chama hakiwezi kuwa na ofisi kichochoroni ya hovyo hovyo kikaaminika. Chama kikubwa kinaendeshwa kihuni.Ccm wameidumaza nchi kimbilio lao eti Chadema hawana office! Kubalini tume huru muone office inasaidia nini
Ndio mwisho wa maono yao ulipofikiaCcm wameidumaza nchi kimbilio lao eti Chadema hawana office! Kubalini tume huru muone office inasaidia nini