Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

Chama hakiwezi kuwa na ofisi kichochoroni ya hovyo hovyo kikaaminika. Chama kikubwa kinaendeshwa kihuni.

Hivi unajua mtaa wa ufipa kweli wewe mpaka kuita uchochoro(Skwata)? Ile sehemu imepimwa mkuu kuna barabara za mitaa safi tena kubwa na 20m , JJMnyika kashasema kwamba wamejenga ofisi kuanzia chini zaidi ya 450 ,kama priority ingekuwa HQ basi kwa gharama za ofisi hizo 450 basi wangejenga jengo zaidi la umoja wa vijana la ccm.
 
Tindo sijui chochote kuhusu maisha yao binafsi na sidhani kama ni sahihi kufanya hivyo kwakuwa hata sisi sote maisha tuliyokuwa nayo huko nyuma miaka 10 iliyopita ni tofauti kabisa na sasa

Uko sahihi, lakini hawa viongozi ni wenzenu, rafiki na ndugu zetu. Tunawajua na maisha yao tunayajua. Hatuyajui kwakuwa tunawachunguza, ila tunawatembelea kwa shughuli za kijamii kama misiba nk.

Sitaki kukuingiza huko ulikoweka mipaka, ila ukweli kuhusu suala la ofisi, viongozi wa CDM wangeweza kufanya vyema zaidi ya hivyo. Ni kweli tulivyokuwa miaka 10 nyuma hata sisi hatuko hivyo, maana hata umri umeongezeka.
 
Hii

Hii Maana yake nini Mnyika kutoa maelezo hayo kipondi hiki cha uzinduzi mjengo wa kifahari wa ACT?

Chadema wameona wamebugi, wanajaribu kuzima kelel za wafuasi wao wanaoulizia mabilioni ya Sabadoo na ruzuku na join the chain yametumikaje.

Mnyika alitakiwa akae kimya kibanda kile cha Ufipa hakifanani na mijengo ya viongozi wa Chadema, wenye akili watajua Chadema ni kikundi cha wapiga dili tu.

Ndio maana wapo viongozi walipokosa ubunge wamekimboa Ulaya wanasubiri uchaguzi waje wagombee tena.
Unampangia Katibu mkuu wa Chadema kitu cha kusema na siku ya kusema ukiwa kama nani.
 
Hivi @AIPOLO hadhi ni sera na maono au ni vitu vya kifahari? Haya mambo ndio yametufikisha hapa kama taifa .. Mtu akishakuwa waziri basi apewe gari la mamilion kuonesha hadhi yake
Anafikiri hadhi ni kulala kwenye gorofa huku wazazi wake wakilala kwenye nyumba mbavu za mbwa.
 
Hivi unajua mtaa wa ufipa kweli wewe mpaka kuita uchochoro(Skwata)? Ile sehemu imepimwa mkuu kuna barabara za mitaa safi tena kubwa na 20m , JJMnyika kashasema kwamba wamejenga ofisi kuanzia chini zaidi ya 450 ,kama priority ingekuwa HQ basi kwa gharama za ofisi hizo 450 basi wangejenga jengo zaidi la umoja wa vijana la ccm.
mwambie mbona jogoo lipo morogoro road lakini chama kimebaki kuwa kwenye mkompa TLP ccm wamechukia kwakuwa chadema wameanza ngazi za chini kuelekea juu na sioni haja yakukimbilia kujenga jengo moja kubwa alafu huko kwenye wilaya hakuna kitu ACT wao wamepaka rangi jengo la maalim seif magomeni siyo hoja ya kubeza chadema wanazo nyumba karibu wilaya zote nchini na hata sasa kwenye mashina wanachama wapo hai kuliko hata ccm
 
Mshana uko sahihi, je viongozi wa juu wa CDM ndani ya hii miaka 10, majengo yao binafsi wanayomiliki kupitia kufaidika na CDM, bado ni duni kama hiyo ofisi yao ya makao makuu?
Sugu ana hotel Desderia Mbeya.
 
Hakuna upotoshaji hapo mkuu, Chadema kutokua na Ofisi inayolingana hadhi yake ni mfano mbaya kwa Upinzani, chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani kilitakiwa kifanye tofauti.
Chama ni watu siyo matofali , Muulize Nyerere
 
Ndio hili?

E0F57B02-83F7-4ABB-B30A-8BD89C881DB2.jpeg
 
Back
Top Bottom