Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaHana mwisho mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaHana mwisho mwema
Kwahiyo Alikuwa Anaudanganya Umma Kwa Faida Ya Nani Jamani
Tindo uko sahihi lakini je ni wangapi nje ya chama wanajua vipaumbele vya CHADEMA? Kama CCM kipaumbele chao ni kujenga ikulu nyingine kubwa Dodoma huku kukiwa na udumavu mkubwa wa huduma za msingi za kijamii CHADEMA inaweza kuwa na mtazamo tofauti na hiloUko sahihi, lakini hawa viongozi ni wenzenu, rafiki na ndugu zetu. Tunawajua na maisha yao tunayajua. Hatuyajui kwakuwa tunawachunguza, ila tunawatembelea kwa shughuli za kijamii kama misiba nk.
Sitaki kukuingiza huko ulikoweka mipaka, ila ukweli kuhusu suala la ofisi, viongozi wa CDM wangeweza kufanya vyema zaidi ya hivyo. Ni kweli tulivyokuwa miaka 10 nyuma hata sisi hatuko hivyo, maana hata umri umeongezeka.
Waziri wa pesa anatembelea gari ya million 500Anafikiri hadhi ni kulala kwenye gorofa huku wazazi wake wakilala kwenye nyumba mbavu za mbwa.
Baada ya vyama vya TLP, NCCR, CUF kushtukiwa na wananchi kwa unafiki na usaliti wao, CCM wanaiandaa ACT kuchukua nafasi.Yaani ACT kimegeuka kuwa CHAMA cha mchongoo.hii inchi inazama.mh.zitto umeanza kuchonga mzinga mapemaa saaana Aiseeeee.
Tindo uko sahihi lakini je ni wangapi nje ya chama wanajua vipaumbele vya CHADEMA? Kama CCM kipaumbele chao ni kujenga ikulu nyingine kubwa Dodoma huku kukiwa na udumavu mkubwa wa huduma za msingi za kijamii CHADEMA inaweza kuwa na mtazamo tofauti na hilo
Mengine yote ni ishu za kawaida za maisha kila mmoja anapambana kivyake kujiongezea kipato
Baada ya vyama vya TLP, NCCR, CUF kushtukiwa na wananchi kwa unafiki na usafiri wao, CCM wanaiandaa ACT kuchukua nafasi.
zombi la lumumba umetumwaNo! Hoja ni ileile kwanini chama chenye umri zaidi ya miaka 30, chama amabacho kimesha pata mabilioni ya pesa, chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani bado kinaishi kwenye vibanda vichochoroni? Je chama hiki kipo serious kweli, au ni kindi cha wapiga dili tu?
OK naomba kwenye hili tukubaliane kutokubalianaSuala la ofisi yenye hadhi ya CDM halina mjadala kwenye kipaombele. Ni kweli kuna vipaombele vingi hilo sikatai, lakini ofisi yenye hadhi ni jambo la lazima wala sio suala la vipaombele. Kwenye hili wala hunitoi kaka na story za vipaombele. Ofisi nzuri ni taswira ya chama au taasisi yoyote ile.
OK naomba kwenye hili tukubaliane kutokubaliana
utajua hujuiMmhhh, kazi ipo leo.
Mkuu Tindo sio Lumumba ila mtazamo wake kwa muda mrefu sana ni CDM kuwa na HQ yenye hadhi.
Tuko pamoja mkuu na mimi ni miongoni mwao tunaotaka HQ yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani.Nashukuru kwa kukiri msimamo wangu kwenye hili kwa muda mrefu. Kama tungejenga ofisi kipindi cha Magufuli mikutano ilipozuiwa, huku tukiwa na ruzuku kubwa, leo hii akina Mnyika wasingeingia kwenye maelezo ya kupanick baada ya ACT kufungua ofisi yao. Na hili la ofisi yenye hadhi ya CDM, halitaiacha taswira yetu vyema hadi tujenge. Kuna msemo usemao "kawaida ni kama sheria"
utajua hujui
Tuko pamoja mkuu na mimi ni miongoni mwao tunaotaka HQ yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani.
View attachment 2402126
Mfano wa jengo la Chadema makao makuu
Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...www.jamiiforums.com
Mwisho wa ZK hautakuwa tofauti sana na wa Mbatia