Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

CDM ingizeni hoja ya ujenzi wa Ofisi, wananchi ndo watatoa Pesa.

Lini mliwaletea wazo la ujenzi wakalikataa??
 
Hivi unajua mtaa wa ufipa kweli wewe mpaka kuita uchochoro(Skwata)? Ile sehemu imepimwa mkuu kuna barabara za mitaa safi tena kubwa na 20m , JJMnyika kashasema kwamba wamejenga ofisi kuanzia chini zaidi ya 450 ,kama priority ingekuwa HQ basi kwa gharama za ofisi hizo 450 basi wangejenga jengo zaidi la umoja wa vijana la ccm.
Nachomaanisha haina hadhi na Chama. Kuna mambo tuwe tunaambiana ukweli. Ni ninyi huwa mnalalamika kuwa Viongozi hawaambiwi ukweli au wakiambiwa wanatetea Ujinga lakini ndicho mnachofanya. Ni aibu ile ofis kuwa makao makuu ya chama. Nachoona ni kuwa Chama kuna watu wanaona kitakufa so hawatafaidika na jengo. Hakina muendelezo. So wananunua vitu vya kuwasadia kwa wakat huu tu
 

Attachments

  • FgKgMjRWQAEdAFo.jpeg
    FgKgMjRWQAEdAFo.jpeg
    29.7 KB · Views: 2
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kwamba mpaka sasa kimejenga ofisi mpya za kisasa zinazofikia idadi ya 457, nchi nzima.

Jambo hili limefichuliwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika akiwa Mkoani Rukwa kwa ajili ya mpango wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema Digital.

Mnyika amedai kwamba Chadema iliona ni vema kupeleka majengo kwenye mzizi wa wanachama nchi nzima badala ya kuweka jengo moja lenye vyumba 450 Makao Makuu, na kwamba mchakato wa Ujenzi wa Makao Makuu utaanza baada ya kusimika ofisi nchi nzima.
Mkuu huo mchakato tangi lini? **** hela za Sabodo hivi zilipotelea wapi? Uongozi wa CHADEMA ulipeleka wapi hela za Sabodo? Au Mkuu hukumbuki?
 
Bilionea Mbowe aipangishe CDM kwenye mojawapo ya majengo yake ya kifahari.

Act Wana ofisi nzuri haijalishi wamepanga au wamejenga.

CDM wawe na mpango wa Ofisi nzuri Dodoma baas, mambo mengine hayahtaji siasa.
 
CDM ingizeni hoja ya ujenzi wa Ofisi, wananchi ndo watatoa Pesa.

Lini mliwaletea wazo la ujenzi wakalikataa??

Na hizo pesa kweli ziingie kwenye ujenzi tu na sio kwenye maeneo mengine watakayoamua viongozi.
 
Na hizo pesa kweli ziingie kwenye ujenzi tu na sio kwenye maeneo mengine watakayoamua viongozi.
Kwani una walakini na CDM kutotumia pesa sawasawa na malengo??

CAG amewahi nusa harufu hii popote?
 
Kwani una walakini na CDM kutotumia pesa sawasawa na malengo??

CAG amewahi nusa harufu hii popote?

Nina tatizo la pesa kuacha kutumika kwenye lengo husika, na kuingia kwenye jambo lingine hata kama kweli ni la chama. Na ushahidi wa hili ninao.
 
Yote Kwa yote,

ACT haiwezi kiaminika kama Chama Cha upinzani kama hawajamfukuza Zittow.

Mtu huyu anasababisha maalum seif kugeuka mara Kwa mara huko alikolala!!
 
Nina tatizo la pesa kuacha kutumika kwenye lengo husika, na kuingia kwenye jambo lingine hata kama kweli ni la chama. Na ushahidi wa hili ninao.
Nashauri ushahidi huu upelekwe Kwa viongozi na utatuliwe ndani ya chama.

CDM ndo Tumaini la wengi Kwa sasa, naamini watapokea na kuufanyia KAZI.
 
Nina tatizo la pesa kuacha kutumika kwenye lengo husika, na kuingia kwenye jambo lingine hata kama kweli ni la chama. Na ushahidi wa hili ninao.
Kama ushahidi unao unakisaidiaje chama sasa wakati unakalia ushahidi.
 
Ccm wameidumaza nchi kimbilio lao eti Chadema hawana office! Kubalini tume huru muone office inasaidia nini
Mkuu nakubaliana nawe maana hata TANU haikuwa na jengo ama ofisi mzuri lakini kutokana na afya ya kisiasa ya wakati ule viongozi walipewa Nchi na tukajitawala chini ya TANU
 
Mwala, ukivuka miaka 35 kama hujaoa ama kuolewa, jamii nzima itakushangaa na hata kukushinikiza uoe/uolewe. Sio kwamba ni lazima kuoa, ila hiyo ndio kawaida inayogeuka kuwa sheria isiyoandikwa. Hili la ofisi ya CDM yenye hadhi halitofautiani na hilo, mbali ya vipaombele vingine utakavyokuwa navyo. Huo ndio uhalisia wenyewe, hayo maneno mengine ya kihuni unayotumia hapa unaonekana punguani tu kutokana na ukongwe wako hapa jukwaani, na ufuasi wako kwa CDM.
pumbaffff sana we lofa wa lumumba
aliekwambia nchi inajengwä kwa kuwa na ofisi ya gorofa huyo ni mwehu kama wewe
 
Hizi sasa ni hoja nyingine nje ya mada husika.. Kama kuna ufisadi umefanyika anayethibitisha ni mkaguzi mkuu wa serikali.. Je CHADEMA wana hati chafu kwenye hili?
Kwani Chadema wanashindwa kujenga ofisi wilayani na makao makuu simultaneously? Hebu acheni kutetea ujinga kwa ujira wa kijungujiko!
 
pumbaffff sana we lofa wa lumumba
aliekwambia nchi inajengwä kwa kuwa na ofisi ya gorofa huyo ni mwehu kama wewe
Chadema wanajenga nchi ipi mkuu? Au familia yako kuishi kwa kutegemea kipato unacholipwa hapo Ufipa imegeuka kuwa nchi?
 
Hii "Self"ni ya Seif Hamad, lilitumika na CUF Maalimu baada ya ugomvi na Lipumba.

Baada ya CUF Maalimu kuhamia ACT makao makuu yamehamia hapa. Tumefanya vikao vingi hapa katika uchaguzi Kinondoni. Sasa lina rangi ya ACT.

Hakuna ugomvi tuna jibu nia OVU tu ya CCM na washirika wake. - Godbless Lema.

NB: Kwanini wanadanganya kuwa imejengwa na chama.
Ndo unajua leo mbona ni issue ya siku nyingi sana!!!!!!
 
Back
Top Bottom