Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

Hivi @AIPOLO hadhi ni sera na maono au ni vitu vya kifahari? Haya mambo ndio yametufikisha hapa kama taifa .. Mtu akishakuwa waziri basi apewe gari la mamilion kuonesha hadhi yake
Sasa mbona manatuchanganya mkuu, mara chadema imejenga ofisi 457 mara ofisi sio shida bali kukaa kwenye mioyo ya watu sasa mnatuchanganya jamani.
Ila mimi sikuona haja ya mnyika kujibu maana hakukuwa na ushindani wao act wamezindua ofisi tu
 
Nafaka mjadala ulikuwa kuhusu HQ.. Sometimes si vema kukaa kimya kwakuwa kwa kufanya hivyo upotoshaji unaweza kuchukuliwa ndio uhalisia
 
pumbaffff sana we lofa wa lumumba
aliekwambia nchi inajengwä kwa kuwa na ofisi ya gorofa huyo ni mwehu kama wewe

Hili jambo liko nje ya uwezo wako Mwalla.
 
Nafaka mjadala ulikuwa kuhusu HQ.. Sometimes si vema kukaa kimya kwakuwa kwa kufanya hivyo upotoshaji unaweza kuchukuliwa ndio uhalisia
Sasa kujibu wakati huu ni kama vile iliwauma kuona ofis ya act au kama vile kuna ushindani.
Mkuu, jirani yako akinunua gari akaonyesha nimenunua gari hivi kuna haja ya wewe kusema labda kuwa una magari mengine mikoani au kuwa na gari si hoja bali la msingi kufika unakokwenda?
 
Nachomaanisha haina hadhi na Chama. Kuna mambo tuwe tunaambiana ukweli. Ni ninyi huwa mnalalamika kuwa Viongozi hawaambiwi ukweli au wakiambiwa wanatetea Ujinga lakini ndicho mnachofanya. Ni aibu ile ofis kuwa makao makuu ya chama. Nachoona ni kuwa Chama kuna watu wanaona kitakufa so hawatafaidika na jengo. Hakina muendelezo. So wananunua vitu vya kuwasadia kwa wakat huu tu
Mkuu unafeli ,kwani HQ Lumumba ina Floor ngapi kwenda Juu? Yaani mnapata ruzuku ya mabilioni mmeishia kuwa na ofisi kama ile ya Lumumba tena pia eneo mlipewa bure hamkununua kabisa ,bora hata chadema walinunua.

Priority ya chadema ni kuanza kujenga osifi ngazi ya chini kwanza kutanua mtandao nchi nzima na wamejenga ofisi 450 kwa nguvu yao wenyewe na si kupora majengo ya TANU.
 
Suala la ofisi yenye hadhi ya CDM halina mjadala kwenye kipaombele. Ni kweli kuna vipaombele vingi hilo sikatai, lakini ofisi yenye hadhi ni jambo la lazima wala sio suala la vipaombele. Kwenye hili wala hunitoi kaka na story za vipaombele. Ofisi nzuri ni taswira ya chama au taasisi yoyote ile.
Sawa kabisa; kwa jakika ndani ya Chadema wapo watu wengi tu wenye mtazamo binafsi kuwa jengo kubwa la makao makuu ni muhimu zaidi kuliko majengo mengi madogo madogo huko kwa wanachama. Vivyo hivyo wapo wengi wenye mtazamo jinyume na huu. Kupanga ni kuchagua baina ya vipaumbele vyoshindana. Fikra hizi mbili tofauti zikipambanishwa kwa hoja bila shaka moja yenye mashiko zaidi itaibuka mshindi. Kabla taifa hili halijachanganyikiwa na kuanza kupoteza dira lilipata kuaminishwa kwa dhati kuwa katika ujenzi wa utaifa kipaumbele cha kwanza ni maendeleo ya watu: uhuru, usawa, haki, fikra, elimu, afya, maji, nk. Siyo maendeleo ya vitu!
 
OK naomba kwenye hili tukubaliane kutokubaliana
Labda mkubaliane kutokubaliana kwa maana ya kipi kianze: jengo kubwa moja au majengo mengi madogo nchi nzima? Vinginevyo kati yenu hakuna asiyetambua umuhimu wa jengo kubwa la makao makuu lenye hadhi ya chama kikubwa cha siasa. Kinachobishaniwa ni kutanguliza jengo hilo moja kubwa au majengo ya ofisi ndogo yaliyotapakaa nchi nzima karibu na wanachama na yanayojengwa na hao hao wanachama kwa nguvu zao wenyewe kwenye maeneo yao! Wanaofahamu historia ya nchi hii watakumbuka kwamba kazi za kujitolea ilikuwa sehemu moja ya mikakati ya kujenga nchi na utaifa mara baada ya uhuru. Ari hii ya kujitolea ilififishwa na matukio mengi ya kisiasa ya kipindi hicho. Kwa hakika kitendo tu cha kuwaunganisha wanachama, kuwaelimisha, kuwapanga na kuwashawishi kujenga ofisi kwenye eneo lao ni hatua kubwa sana katika ujenzi wa chama cha siasa. Chama cha siasa pekee kilichowahi kujaribu kufanya kazi kama hii angalau kwa muda mfupi ni TANU (ASP?).
 
Chadema mlio wengi ni wap*mbav msiotaka kukosolewa hata kidogo! You will make the worst dictator mkiingia madarakani. Mtatuua wakosoaji wote mtumalize!
m....anina nyie mumeua wangapi mpaka kufikia leo shwain ndezi nyie
 
Sio kila anayekosoa Chadema ni mwanaCCM and vice versa is true! Chadema kuna baadhi ya vijana km wewe ni wa hovyo sn mnaoamini hampaswi kukosolewa
 
Hii

Hii Maana yake nini Mnyika kutoa maelezo hayo kipondi hiki cha uzinduzi mjengo wa kifahari wa ACT?

Chadema wameona wamebugi, wanajaribu kuzima kelel za wafuasi wao wanaoulizia mabilioni ya Sabadoo na ruzuku na join the chain yametumikaje.

Mnyika alitakiwa akae kimya kibanda kile cha Ufipa hakifanani na mijengo ya viongozi wa Chadema, wenye akili watajua Chadema ni kikundi cha wapiga dili tu.

Ndio maana wapo viongozi walipokosa ubunge wamekimboa Ulaya wanasubiri uchaguzi waje wagombee tena.
Wewe ndio unauliza kwa kiherehere chako Wanachadema wana Imani na Viongozi wao mnateseka sana na CHADEMA
 
Sasa mbona manatuchanganya mkuu, mara chadema imejenga ofisi 457 mara ofisi sio shida bali kukaa kwenye mioyo ya watu sasa mnatuchanganya jamani.
Ila mimi sikuona haja ya mnyika kujibu maana hakukuwa na ushindani wao act wamezindua ofisi tu
Vipi Wizi wa KURA ?
Screenshot_20221030-195007.jpg
 
Sasa kujibu wakati huu ni kama vile iliwauma kuona ofis ya act au kama vile kuna ushindani.
Mkuu, jirani yako akinunua gari akaonyesha nimenunua gari hivi kuna haja ya wewe kusema labda kuwa una magari mengine mikoani au kuwa na gari si hoja bali la msingi kufika unakokwenda?
Kinachobishaniwa ni kutanguliza jengo hilo moja kubwa au majengo ya ofisi ndogo yaliyotapakaa nchi nzima karibu na wanachama na yanayojengwa na hao hao wanachama kwa nguvu zao wenyewe kwenye maeneo yao! Wanaofahamu historia ya nchi hii watakumbuka kwamba kazi za kujitolea ilikuwa sehemu moja ya mikakati ya kujenga nchi na utaifa mara baada ya uhuru. Ari hii ya kujitolea ilififishwa na matukio mengi ya kisiasa ya kipindi hicho. Kwa hakika kitendo tu cha kuwaunganisha wanachama, kuwaelimisha, kuwapanga na kuwashawishi kujenga ofisi kwenye eneo lao ni hatua kubwa sana katika ujenzi wa chama cha siasa. Chama cha siasa pekee kilichowahi kujaribu kufanya kazi kama hii angalau kwa muda mfupi ni TANU (ASP?).

Credit kwako Sandinistas
 
Labda mkubaliane kutokubaliana kwa maana ya kipi kianze: jengo kubwa moja au majengo mengi madogo nchi nzima? Vinginevyo kati yenu hakuna asiyetambua umuhimu wa jengo kubwa la makao makuu lenye hadhi ya chama kikubwa cha siasa. Kinachobishaniwa ni kutanguliza jengo hilo moja kubwa au majengo ya ofisi ndogo yaliyotapakaa nchi nzima karibu na wanachama na yanayojengwa na hao hao wanachama kwa nguvu zao wenyewe kwenye maeneo yao! Wanaofahamu historia ya nchi hii watakumbuka kwamba kazi za kujitolea ilikuwa sehemu moja ya mikakati ya kujenga nchi na utaifa mara baada ya uhuru. Ari hii ya kujitolea ilififishwa na matukio mengi ya kisiasa ya kipindi hicho. Kwa hakika kitendo tu cha kuwaunganisha wanachama, kuwaelimisha, kuwapanga na kuwashawishi kujenga ofisi kwenye eneo lao ni hatua kubwa sana katika ujenzi wa chama cha siasa. Chama cha siasa pekee kilichowahi kujaribu kufanya kazi kama hii angalau kwa muda mfupi ni TANU (ASP?).
Kinachobishaniwa ni kutanguliza jengo hilo moja kubwa au majengo ya ofisi ndogo yaliyotapakaa nchi nzima karibu na wanachama na yanayojengwa na hao hao wanachama kwa nguvu zao wenyewe kwenye maeneo yao! Wanaofahamu historia ya nchi hii watakumbuka kwamba kazi za kujitolea ilikuwa sehemu moja ya mikakati ya kujenga nchi na utaifa mara baada ya uhuru. Ari hii ya kujitolea ilififishwa na matukio mengi ya kisiasa ya kipindi hicho. Kwa hakika kitendo tu cha kuwaunganisha wanachama, kuwaelimisha, kuwapanga na kuwashawishi kujenga ofisi kwenye eneo lao ni hatua kubwa sana katika ujenzi wa chama cha siasa. Chama cha siasa pekee kilichowahi kujaribu kufanya kazi kama hii angalau kwa muda mfupi ni TANU (ASP?).
[emoji1545][emoji1752][emoji818][emoji817][emoji817]
 
Wewe ndio unauliza kwa kiherehere chako Wanachadema wana Imani na Viongozi wao mnateseka sana na CHADEMA
Ngoja ni kuelimishe. Kwenye siasa kuna watu wawili tu, enemy and tools kama wewe sio mgombea wa nafasi yoyote basi wewe tools tu. Lema baada ya kukosa ubunge kakimbilia Ulaya, atarudi 2025 kuja kukutumia tena kupata ubunge. Hao ndio viongozi wenu mlio na imani nao.
 
Mkuu unafeli ,kwani HQ Lumumba ina Floor ngapi kwenda Juu? Yaani mnapata ruzuku ya mabilioni mmeishia kuwa na ofisi kama ile ya Lumumba tena pia eneo mlipewa bure hamkununua kabisa ,bora hata chadema walinunua.

Priority ya chadema ni kuanza kujenga osifi ngazi ya chini kwanza kutanua mtandao nchi nzima na wamejenga ofisi 450 kwa nguvu yao wenyewe na si kupora majengo ya TANU.
Mkuu... Mimi HQ ya Lumumba inanihusu nini na jengo lenyewe la zamani lile? Nazungumzia CDM. Hao CCM wana majengo hata dodoma. But hata wangekuwa hawana. Unadhani lilikuwa jambo la kuiga?

Labda uniambia CDM hawana tena maono ndo wameishia hapa wamekata tamaa so hawana sababu ya kujenga. Kama mgonjwa wa cancer ambaye anasema ajenge nyumba ya nini?wacha ale maisha siku za kuishi chache. Labda uniambie hivyo.
 
Back
Top Bottom