AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Yaani humu kweli kiba ndo habari ya mjini.... nani asiyemjua wanampigia promo kila kona..
KITU kitoke wapi??mapovu tu ndio yamejaa na kuomba msaada!!!ukiona mtu anatukana jua ameishiwa hoja!
Mtoto wa Tandale mwisho ananifurahishaga na posts zake maana ameandika
"tunakumbushana tu ndugu zangu..."
Huu waraka mimi sisomi ukiniquote andika mistari miwili tuh... pole unachosha nguvu zako...niache kupiga kura nisome waraka..
Haloooo ya tuzooooo...
daah ndo nafika jamani
eti niulize kuna ubaya kiba kumuomba wema ampigie promo...?!!!!au vp jamaniiiii....!!!
Shardcole umemaliza kila kitu aisee nadhani umeeleweka vizuri. Tu #TeamKibaForever .
Matusi ndio ngao yao kuu hawawez kumalza mjadala bila kutukana never
Teh teh msumari huo umewachoma kote kote pole sana endelea kujipa matumaini safari bado ndefu sana tena ndo imeanza.
Yaani nakwambia DIAMOND ni FROM ZIRO TO HEROOO!!!!!!Wao ni FROM HERO TO ZIROOOO!!
daah ndo nafika jamani
eti niulize kuna ubaya kiba kumuomba wema ampigie promo...?!!!!au vp jamaniiiii....!!!
Next : South Africa > Nigeria > Ghana > Togo > Angola.
Wakati wengine wanapiga ruti za Kkoo Posta Mwenge KunduUchi hahah
hahaha tuombe uzima aisee
Mama ushabiki ukizidi sana unakua ni kama utoto ujue.Ila kuna watu wajinga sijawai kuona
Inabidi muogopwe ujambazi hata kuua mnaua
Next : South Africa > Nigeria > Ghana > Togo > Angola.
Wakati wengine wanapiga ruti za Kkoo Posta Mwenge KunduUchi hahah
Tutaheshimiana tu mkuu, si walibeep sasa king kaamua kuwapigia japo wao voda king Airtel.
Ndo la msingi mengine bwebwe only time will tell.