AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
achana nao hawa wanafki na wanaweweseka mnoo
Hahahaha sasa sipati picha baada ya collabo la KingKiba na Christian Bella likitoka june, walah kuna watu watapotea humu JF
Mkuu kwel bora ulale tu hizi siku maana baada ya KTMA huu muda unaochezea kukesha kumpiga majungu Jing utaukumbuka coz pale itakuwa hakuna kulala maana juzi tu baada ya tuzo 1 hukulala kabisa je baada ya tuzo 7? Hahahaha
Hahahaha sasa sipati picha baada ya collabo la KingKiba na Christian Bella likitoka june, walah kuna watu watapotea humu JF
somo la kuomb kura kweli nimelielewa
nini penny mpk zari na esma maana sie ni wa local bwana nyir si international level...!!
huku bongo tuachieni sie
Yeah si tunaomba kura za ndani local, na yie nendeni tena BET tuwaomboe kura hahahhaha
Tupo utaona kama mtapata hata 3. Usidhani record aliyoweka diamond kuchukua 7 ilikua kazi rahisi hivo
Wazee wa DNA hahahaaaaaaa tupaa kulee.
Nafurahi sana nikiona kiba anavyowatoa jasho
Mkuu watatuelewa tu.
Akatoe asante kwa x wa Mondi
Usilete aibu hapa DNA inapima sex ya mtoto tumboni pia.
Hilo mbona halina shida, ila subirini kwanza kichapo kutoka kwa king
hawatapata hata moja
Usilete aibu hapa DNA inapima sex ya mtoto tumboni pia.
eti unacheka... we unafikiri huyo ally anaweza akawa hata nominee wa Mtv?? na ile video yake anayokunya Bafuni
Hatujakataa mkuu, sasa nyie ambao mpo nominated hadi Mtv kwanini mnalialia kwa kiba?
Kwa taarifa tu mpaka sasa Video ya mwana ndiyo inayoongoza kura dhidi ya video ya ntampata wapi ya DNA platinumz, sasa hautamini siku utakapotangaziwa kuwa hiyo video ya mwana ndiyo video bora ya mwaka.
#KingkibaForever
Wema kweli kamuumbua kwa kweli, sijui kwanini hakumezea. Ila kama haujapangiwa kung'aa kimwenyewe ndio haya yanakuja labda angelipia tangazo tusingejua. Imebidi nicheke
JF haiachagi kunifurahisha kuna usernames zikijisimamia lazima zingine zisepe kwa kila kisingizio.