Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

 
Kiba mi namuelewa sana!!! Mwaka jana domo katoa nyimbo zaidi ya 3,zikawa zinapigwa bao na mwana!! Mwaka huu chekecha ikipigwa mahali afu piga hiyo taarabu yao,uone watakavokutolea dirishani!!

Kitu kingine nyimbo za kiba zinaishi kuliko domo!! Sikiliza my everthing,run dunia,mwana afu compare na ntampata wapi,kitorondo au number one org. Afu majibu mgawane!!!!! Hapo cjataka kugusa zile za kabla ya domo kama makmuga,karimu n.k


Dah!! We kiba weweee utaua
 
Huyo kibakuli mwenye sura kama anapiga MLUZI kinachomweka mjini kwa sasa ni 'BIFU' na kafanikiwa sana.Hakuna chochote anachomzidi Mond.Hata mashabiki anao kiduchu wa kariakoo "Wanaompa support kwa sasa siyo mashabiki wake bali ni maadui wa Mond.Kama kweli anajiamini "AMALIZE BIFU THEN KILA MTU AENDELEE NA MAISHA YAKE" !!Mwaka huu mabifu yamekutana mengi(IVAN,KIBAKULI,WEMA,EX wa BONGO,WANAFIKI Wasiopenda mafanikio ya vijana wao- ndo naona yanakiki ila lingekuwa moja angelimaliza easily.
 
sio kweli kwamba kiba amemuomba wema tu ampostie matangazo,but katuma kwa watu wake wengi wa karibu na mafans wake..ila kwakuwa wema alikuwa demu wa domo,naona team domo mmepata pakuanzia..TATIZO HAPO NI WEMA, anaamini akisema hivo basi ata make headline mtaani. lakini swali la kujiuliza ingekuwa msanii mwingine yoyote amemuomba wema hiyo support,mngetoka jasho hivo,au huyo wema angeenda kusema hivyo alivyosema kwa ishu ya kiba?????????????

HAPO KILA MTU AMECHEZA PART YAKE......alikiba ameomba support kwa watu wake akiwepo huyo wema na pia Wema amepata Kick kupitia Alikiba:teeth:
394
 


kwa staili hii kiba hamfikii domo


559
 

Pole sana.
Utaelewa tartiiibu tu!
 

Wanaongea sana ndo matatizo yao.
MIGAZETI YENU HATUSOMI NG'OO TUPO BIZE NA KURA!
 
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha

It is called flexibility, versatility. Go look it up. The boy is talented, being able to easily move around and do different genres is a true definition of talent.
 
Ndo maana anajifanya hataki tuzo mwaka huu kwa kuwa anajua kiba lazima ampiku, japo mie ni team mondi ila ananiudhi maringo mengi kura yangu kwa kiba japo simfeel hata kidogo, nataka mondi a-pate muda wa kujifunza na kujirekebisha japo napenda nyimbo zake zooooote.
 
Mwaka huu hakuna rangi mtakosa kuona, na tuna mpango wa kuwakimbiza hadi kwenye killi na sijui mtatoa sababu gani!
 
B-)b-)b-)b-)b-)
 

Attachments

  • 1432934241157.jpg
    17.8 KB · Views: 229
Kwa wakati huu ni vema akashauliwa Ali atoke huko kwenye mabonde ya Jangwani anakoshinda na masela, ataua kipaji chake, hiyo kitu siyo nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…