Leo eti mnaanza kumshobokea Wema wakati mlikua mnaongoza kumtukana na kumsifia huyo bibi. Leo ndo mnaona umuhimu wa Wema kwa huyo domo. Hahaaaa mwapenda majungu eeeh aisee kitu its to late sana tu. Jinyongeni kabisa loh
Hayo maneno tu hata kwenye khanga na taarabu yapo. Timu mond acheni visingizio rahisi tafteni njia ya Ku move on mtumieni Zari mliyekua mna mpapatikia ka wa sayari nyingine.
Kati ya Diamond na Kiba nani anayeonyesha kupambana na mwenzake.?
Punguza mkari Diva hamuwezi kushindana na Diamond bila kutumia mbinu mbadala.
Kama alivyosema Wema yeye ni team Kiba lakini anaukubali mziki wa Diamond, na atamshangaa mtu atakaeuponda mziki wa Diamond.
Hivi unafiki Diamond alichukuwa KORA sababu anapendwa sana Tanzania? Hapana ni juhudi zake pamoja na uongozi ulio bora.
Tanzania tunahitaji kuwa washindani wengi hasa kwenye tuzo za kimataifa kitu ambacho team Kiba mmefeli.
Hampo kwa ajili ya kumsaidia Kiba kitaifa na kimataifa, ila kumshusha Diamond awe majalala mpate cha kuongea.
Ningependa Team Kiba mngeanzisha kampeni maalumu ya kumpaisha Kiba kimataifa, kama ilivyo Nigeria kati ya Davido na Wizkid.
Hizi kampeni zenu mnafaidisha zaidi matapeli wa mziki Tanzania kuliko Kiba.
Jana tu pale Mwanza Wakati wasanii wengine walilipwa kwa makadirio Diamond alilipwa kwa kila tiket kitu ambacho team Kiba mmeshindwa.
Kweli kabisa naamini ulichosema kwamba huenda hakumshukuru!au ameona ujinga kubeba watu kila siku wakati yeye mwenyewe anayake mengi ya kufanya!yote yanawezekana.
Le Mutuz.ni shida aisee!!yaani kile ni kipindi hasaa!!!tucheke kwa raha zetu!shida zao hazituhusu!!!!
Yaani iko hivi eti "KIBA KAOMBA KWA WEMA ASAIDIWE KUPAMBANA NA DIAMOND KTK (KTMA) kama alivyosaidiwa ktk tuzo za watu " kama wewe unajidai ni shabiki wa Kiba na unafahamu kiswahili na kanuni zake,basi kwa kauli hii ya Wema maana yake yeye(wema) ndo muwezeshaji na ndo mwenye mashabiki wa kumfanya kiba ashinde na
si Kiba anayeweza bila kuwezeshwa na Wema lakini kwa upande wa kiba maana yake ni kuwa HAWEZI KUPAMBA NA DIAMOND BILA KUPATA MSAADA WA WEMA KWA MAANA NYINGINE NI KUWA WEMA ANAMASHABIKI WENGI KULIKO YEYE
Hahaaaaa naona timu mind mumeona hali ngumu baada ya mtu wenu kukosa tuzo mnaanza kutumia kumupa support kiba kwenye KTMA kuomba msamaha kiujanja kwa domo ili amrudie domo apigiwe promo ili ashinde tuzo. Poleni sana aisee jipangeni.Ila wema kamuumbua Kiba jamani angekaa tu kimya au Kiba hakuutambua mchango wa Wema???
Hahaaaaa naona timu mind mumeona hali ngumu baada ya mtu wenu kukosa tuzo mnaanza kutumia kumupa support kiba kwenye KTMA kuomba msamaha kiujanja kwa domo ili amrudie domo apigiwe promo ili ashinde tuzo. Poleni sana aisee jipangeni.
Nimependa njia mnayoitumia kumuomba msamaha Wema kiujanja loh!
Wema ule msemo wa tenda wema uende zako haujui kabisa amesubiri Kiba amshukuru kaona kimya imebidi amshushue hamna namna
Ila wema kamuumbua Kiba jamani angekaa tu kimya au Kiba hakuutambua mchango wa Wema???
Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.
Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.
Bibi ni nani?
Hata hajamuumbua ni kawaida tu. Mbona hahaaa haitasaidia kitu sioni shida mtu kuomba support mtu wenu hakutaka support. Kulia lia mtandaoni na Kiba its nonsense and wastage of time.
Hahahahaha ila mwisho wa cku Kiba kachemka
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema
Hongera zake Kiba ana mikakati hatari anajua kutumia fursa
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema