Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Leo eti mnaanza kumshobokea Wema wakati mlikua mnaongoza kumtukana na kumsifia huyo bibi. Leo ndo mnaona umuhimu wa Wema kwa huyo domo. Hahaaaa mwapenda majungu eeeh aisee kitu its to late sana tu. Jinyongeni kabisa loh

Bibi ni nani?
 
Hayo maneno tu hata kwenye khanga na taarabu yapo. Timu mond acheni visingizio rahisi tafteni njia ya Ku move on mtumieni Zari mliyekua mna mpapatikia ka wa sayari nyingine.

Ila wema kamuumbua Kiba jamani angekaa tu kimya au Kiba hakuutambua mchango wa Wema???
 
idawa unaandika mno hisia na ushabiki umejuaje kiba anashindana na huyo domo wenu. Acheni kuwa vipofu kwani mwanamziki na Ali kiba tu anaimba.
Hahaaaa mnachekesha kweli msitafte mchawi wa mtu kushuka ni yeye mwenyewe.Mwacheni afanye yake kijana.

Domo atashuka tu kwa wakati wake. Tatizo hamtaki kukubali daily visingizio mtu anataka kushushwa. Kama dola ya Rumi ilipotea Uingereza kupoteza uwezo wake kama nchi iliyowahi kuongoza uchumi duniani sembuse mtu. Mpeni mwenzenu mda afanye yake sio kumtaftia visingizio. Jifunzeni kukubali japo ukweli unauma loh!
 
Kati ya Diamond na Kiba nani anayeonyesha kupambana na mwenzake.?

Punguza mkari Diva hamuwezi kushindana na Diamond bila kutumia mbinu mbadala.

Kama alivyosema Wema yeye ni team Kiba lakini anaukubali mziki wa Diamond, na atamshangaa mtu atakaeuponda mziki wa Diamond.

Hivi unafiki Diamond alichukuwa KORA sababu anapendwa sana Tanzania? Hapana ni juhudi zake pamoja na uongozi ulio bora.

Tanzania tunahitaji kuwa washindani wengi hasa kwenye tuzo za kimataifa kitu ambacho team Kiba mmefeli.

Hampo kwa ajili ya kumsaidia Kiba kitaifa na kimataifa, ila kumshusha Diamond awe majalala mpate cha kuongea.

Ningependa Team Kiba mngeanzisha kampeni maalumu ya kumpaisha Kiba kimataifa, kama ilivyo Nigeria kati ya Davido na Wizkid.

Hizi kampeni zenu mnafaidisha zaidi matapeli wa mziki Tanzania kuliko Kiba.

Jana tu pale Mwanza Wakati wasanii wengine walilipwa kwa makadirio Diamond alilipwa kwa kila tiket kitu ambacho team Kiba mmeshindwa.

Ahhahaaaa!!yaani wewe sio idawa! bali wewe ni DAWA inayotibu kila ugonjwa!.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa naamini ulichosema kwamba huenda hakumshukuru!au ameona ujinga kubeba watu kila siku wakati yeye mwenyewe anayake mengi ya kufanya!yote yanawezekana.

Le Mutuz.ni shida aisee!!yaani kile ni kipindi hasaa!!!tucheke kwa raha zetu!shida zao hazituhusu!!!!

Wema ule msemo wa tenda wema uende zako haujui kabisa amesubiri Kiba amshukuru kaona kimya imebidi amshushue hamna namna
 
Yaani iko hivi eti "KIBA KAOMBA KWA WEMA ASAIDIWE KUPAMBANA NA DIAMOND KTK (KTMA) kama alivyosaidiwa ktk tuzo za watu " kama wewe unajidai ni shabiki wa Kiba na unafahamu kiswahili na kanuni zake,basi kwa kauli hii ya Wema maana yake yeye(wema) ndo muwezeshaji na ndo mwenye mashabiki wa kumfanya kiba ashinde na

si Kiba anayeweza bila kuwezeshwa na Wema lakini kwa upande wa kiba maana yake ni kuwa HAWEZI KUPAMBA NA DIAMOND BILA KUPATA MSAADA WA WEMA KWA MAANA NYINGINE NI KUWA WEMA ANAMASHABIKI WENGI KULIKO YEYE

Ewaaaaaa!!namna hiyo!
 
Ila wema kamuumbua Kiba jamani angekaa tu kimya au Kiba hakuutambua mchango wa Wema???
Hahaaaaa naona timu mind mumeona hali ngumu baada ya mtu wenu kukosa tuzo mnaanza kutumia kumupa support kiba kwenye KTMA kuomba msamaha kiujanja kwa domo ili amrudie domo apigiwe promo ili ashinde tuzo. Poleni sana aisee jipangeni.
Nimependa njia mnayoitumia kumuomba msamaha Wema kiujanja loh!
 
Hahahahaha ila mwisho wa cku Kiba kachemka
 
Wema ule msemo wa tenda wema uende zako haujui kabisa amesubiri Kiba amshukuru kaona kimya imebidi amshushue hamna namna

Yaani amewachezea akili sana Wema!alingoja ashinde ndipo na yeye apate UJIKO wa kujitangaza zaidi!kwa maana nyingine anamaanisha kwamba bila yeye bongo hapa msanii hawiki!

Yaani Madame ameua Band kinyama!!
 
Ila wema kamuumbua Kiba jamani angekaa tu kimya au Kiba hakuutambua mchango wa Wema???

Hata hajamuumbua ni kawaida tu. Mbona hahaaa haitasaidia kitu sioni shida mtu kuomba support mtu wenu hakutaka support. Kulia lia mtandaoni na Kiba its nonsense and wastage of time.
 
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema
 
Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.

Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.

Rafiki hivi domo hana jina lingine.? Mbona wengine umewataja kwa majina yao why domo au ndo jina lake?
 
Hata hajamuumbua ni kawaida tu. Mbona hahaaa haitasaidia kitu sioni shida mtu kuomba support mtu wenu hakutaka support. Kulia lia mtandaoni na Kiba its nonsense and wastage of time.

Hongera zake Kiba ana mikakati hatari anajua kutumia fursa
 
Hahahahaha ila mwisho wa cku Kiba kachemka

Nyie ndo mumechemka. Leo mliokua mnayaita makombo ndo mnaanza kuyaomba msamaha kiujanja? Hahaaaa you better guys take a chill pill loh.Endeleeni kuhangaika na Kiba kwa sababu mnafanya mashindano eeeeh.
 
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema

Ye mwenyewe alijua bila hao asingeweza ndo maana akakikimbiza inbox kujipendekeza
 
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema

Bora we umekubali promo ya Wema ilichangia sio uwezo wa Kiba binafsi
 
Hahahaaaaa halo ya tuzo weeeeeeeeee......
Team domo mnatapa tapa na muda wote mmeinua masikio kaka popo kusikia wema atasem nini na kiba atasem nini ...halooooooww..
Mwanamziki wa kiume anayependwa tz... Alikiba
Mwigizaji wa kike anayependwa tz ni Wema sepetu....
Endeleeni kutega masikio haibadilishi matokeo..
Alikiba ni msanii anayekubalika ata kama asingepigiwa promo na wema

Hahaaaa that's the truth whether they accept it or not. Maneno mengine ya wakosaji na kujifariji ili kupunguza maumivu makali ya moyoni.
 
Back
Top Bottom