Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg

This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond. Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi karibuni Wema alitengeneza vichwa vya habari kwa kuonesha support kubwa kwa Alikiba (Hasimu wa Diamond) katika kumuombea kura za KTMA.

Kwa wengi hiyo ilitafsiriwa kama kisasi cha Wema kwa ex wake. Na wengine walihisi Kiba na Wema wana lao jambo! Lipi? Hata hivyo kupitia kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Jumatatu hii, Wema alisema Kiba ni mtu wake wa karibu tangu siku nyingi na humuita jina la utani ‘bichwa'. "Ali and I are very good friends," alisema Wema.

"Ali alinitumia meseji kwenye whatsapp akanitumia picha (za KTMA) kama nne, nikamuambia ipi? Akaniambia zote, nikapost zote, akaniambia ntakutumia zingine. Nikamuuliza ‘hivi umetajwa kwenye category ngapi kwenye Kili? Akaniambia saba. Nikamwambia fresh nitumie zote nitakupost.

Akaniambia poa na wewe nitumie post zako za Tuzo za watu and I took it as a support, namsupport mshkaji wangu. Mimi ni team Kiba." Hata hivyo Wema alisema haoni kama kuna tatizo kama akiwa team Diamond pia. "I love his [Diamond] music. Mtu akikaa leo akisema kwamba Diamond anaimba vibaya huyo atakuwa ni hater tu, the boy can really sing."

Chanzo: Bongo5

Basi sawa!ngoja wakaanga sumu waje na mapovu yao teh!teh!teh! Chinga One
 
Last edited by a moderator:
Hivi tuzo za KTMA ni kwa ajili ya Diamond VS Alikiba?? aaahhh sujui umekula maharage ya wapi wewe? Kwenye hiyo habari mbona hakuna sehemu Alikiba amesema anataka Sapoti ya Wema ili kupambana na Diamond ameomba asaidiwe kupost picha hizo ili ziwafikie mashabiki wake ambao ndio wapiga kura wake
 
Sasa yeye kiba akumuona ata lulu au Kajala kamuona Wema tu amsaidie, lengo mbona linajulukana. Kuingilia mapenzi ya watu walioachanq hii ni mpya kwa kweli
 
Sasa yeye kiba akumuona ata lulu au Kajala kamuona Wema tu amsaidie, lengo mbona linajulukana. Kuingilia mapenzi ya watu walioachanq hii ni mpya kwa kweli

ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!ahahahahahaaaaaa! mzurimie
 
Last edited by a moderator:
View attachment 254861
Yeye anadili na ma X wa Diamond tu.

Kila mtu na maisha yake wewe unaumia nini? Hujui kuwa duniani hamna jipya yote ya zamani. Kiba kupotewa promo imekua dhambi eeeh kumuongelea tu haitoshi. Mind biashara zenu na mond kuhangaika na kiba haisaidii nyie fanyeni promo ya tuzo za kimataifa. Yeye acha atafte tuzo za nyumbani.
 
mkuu mbona hili liko kotekote, hata mashabiki wa dimondi nao wanasiliza nyimbo za kiba, mashabiki wa simba mbona wanaangalia mechi za yanga na hivyo hivyo kwa mashabiki wa yanga, so it's the obvious!!

Hahaaaa umemjibu vizuri sana sijui kwenye Ku comment hawa reason kwanza. Zaidi tu ya kujibu hisia wanasahau kufikiri.
 
Kila mtu na maisha yake wewe unaumia nini? Hujui kuwa duniani hamna jipya yote ya zamani. Kiba kupotewa promo imekua dhambi eeeh kumuongelea tu haitoshi. Mind biashara zenu na mond kuhangaika na kiba haisaidii nyie fanyeni promo ya tuzo za kimataifa. Yeye acha atafte tuzo za nyumbani.

Ndio utakapojua lengo la Kiba sio kukamata soko la mziki bali kupambana na Diamond.

Yeye anaamini Wema na Kidoti ndio waliochangia mafanikio ya Diamond anasahau kuwa kujituma kwa Diamond ambako yeye hata robo hamfikii.

Mpeni mbinu mbadala mtu wenu sio kupita alimopita Diamond, tunajua mnapenda lakini ndio hivyo.

Najua Kiba ni mwanamziki mzuri ila sio level ya Diamond.
 
“Ali alinitumia meseji kwenye whatsapp
akanitumia picha (za KTMA) kama nne,
nikamuambia ipi? Akaniambia zote, nikapost
zote,
akaniambia ntakutumia zingine. Nikamuuliza
‘hivi
umetajwa kwenye category ngapi kwenye Kili?
Akaniambia saba. Nikamwambia fresh nitumie
zote nitakupost.
 
Kumshangilia saana Kiba kwa ushindi wa tuzo kama hizi ni sawa na kumsikiliza Mkubwa Fela akiimba acapella ya ile taarabu yake, alafu unampigia shangwe kuuubwa, kesho ukimkuta kwenye foleni eti anachukua fomu ya kushiriki Tusker project fame sijui mtamlaumu nani.
 
Ndio utakapojua lengo la Kiba sio kukamata soko la mziki bali kupambana na Diamond.

Yeye anaamini Wema na Kidoti ndio waliochangia mafanikio ya Diamond anasahau kuwa kujituma kwa Diamond ambako yeye hata robo hamfikii.

Mpeni mbinu mbadala mtu wenu sio kupita alimopita Diamond, tunajua mnapenda lakini ndio hivyo.

Najua Kiba ni mwanamziki mzuri ila sio level ya Diamond.

Nimeipendaje sasa hii!!
 
Back
Top Bottom