Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

“Ali alinitumia meseji kwenye whatsapp
akanitumia picha (za KTMA) kama nne,
nikamuambia ipi? Akaniambia zote, nikapost
zote,
akaniambia ntakutumia zingine. Nikamuuliza
‘hivi
umetajwa kwenye category ngapi kwenye Kili?
Akaniambia saba. Nikamwambia fresh nitumie
zote nitakupost.

Chezea Wema wewe!!
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!ahahahahahaaaaaa! mzurimie

Hello hello

Kweli

Haaaaa haaaaa haaaaa

Kaamua kujisafisha mtoto wa watu kusemwa anawivu hadi kumrusha kiba kwa page yake oooo kumbe, hata alikuwa hajapanga hadi alipotumiwa ombi na mipicha ooo kumbeee... Hata wengi tulijua kipraiveti kilihusika maana kawaida yake kusapoti watu uwa anarusha repost

kutenda anayotenda kumbe mengine anasaidiwa kupitishia wivu wake pia ooo kumbe

Watajiju waache kumwingelea D, anatafuta kiki kupitia D

Mbona timu yake inashinda inamtukana hakemei ----- wao, hata kusafiri na makamanda waongozaji kutukana watu kwa kutumia jina lake.

Amuache D ameona yaliyomtokea mmarekani ndio akaona ajisafishe

Ila hao timu Diamond + na fans walinifurahisha weekend iliyopita.
 
Last edited by a moderator:
Ndio utakapojua lengo la Kiba sio kukamata soko la mziki bali kupambana na Diamond.

Yeye anaamini Wema na Kidoti ndio waliochangia mafanikio ya Diamond anasahau kuwa kujituma kwa Diamond ambako yeye hata robo hamfikii.

Mpeni mbinu mbadala mtu wenu sio kupita alimopita Diamond, tunajua mnapenda lakini ndio hivyo.

Najua Kiba ni mwanamziki mzuri ila sio level ya Diamond.

Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.

Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.
 
Ahahaaaaaaaa!mbavu zangu leoo!nahisi amemuogopa.Le mutuz shosti!maana alipanga hasa kuwalipua wakaanga sumu!

Aisee!Wema kiboko mtoto yule!!akaona kheri niseme ukweli kuliko kuigiza unafiki na kubeba nyota za watu!
 
Hakuna jipya sana cha ajabu hapo kila mtu ana Uhuru wa kufanya atakacho. After all nothing new under the sun.
Na wengine wangeomba nao wangepewa tu kwani yeye ni wa kwanza kuomba msaada. Tena nampongeza kwa kuomba apostiwe mana sio dhambi.

Mtoa mada anataka kufanya kama vile Kiba alimwangukia Wema.Majungu tu.
Kuna ubaya sasa wakiungana mikono?
Ubaya upo wapi?
Team domo acheni unafiki.
Nani kawaambia usipokua shabiki wa Dai hutosikiza nyimbo yake?
Huu ni utoto na ujinga wa hali ya juu.
Acheni utoto basi, mnaboa sana.Ndio maana team Kiba wakimpongeza dai kama msanii mlivo mapoyoyo huwa mnamwona kama vile kafanya jambo la ajabu au amehasi ngome.
Mnachefua sana kwa kweli.
Nyie mnakuza vitu vidogo viwe uhasama mkubwa.Kwa mwendo huu mtatufungulia sana nyuzi.
 
Ahahaaaaaaaa!mbavu zangu leoo!nahisi amemuogopa.Le mutuz shosti!maana alipanga hasa kuwalipua wakaanga sumu!

Aisee!Wema kiboko mtoto yule!!akaona kheri niseme ukweli kuliko kuigiza unafiki na kubeba nyota za watu!

Kwa Wema lazima kuna kilichotokea kwake kwa matendo au kusemwa akaona aongee tu na hatukijui so imebidi ajisafishe

Maana hata mie nisingependa nisingiziwe wivu wakati hata sikufikiria kitu hicho nilichoombwa kufanya

Labda pia Kiba hakumshukuru kwa juzi pia, maana ilichangia kumpa promo ya tuzo pia.

*******

Kweli umenena Le tamkozzzz linaogopesha haswa ukizingatia kamaa sio siri ya mmoja inakuwa tabu inatisha

Lol Le Mutuz ananifurahishaga nilikuwa simwelewi zamani ila sasa ni burudani kwangu na anakuwaga na facts pia. Wakati mwingine nacheka sitaki kuzeesha uso wangu mie kwa ninaowajulia mitandaoni...

bali naijua familia ya baba yake vizuri na watoto hata wengine marehemu na mama yao RIP tangu enzi enzi...
 
Ndio utakapojua lengo la Kiba sio kukamata soko la mziki bali kupambana na Diamond.

Yeye anaamini Wema na Kidoti ndio waliochangia mafanikio ya Diamond anasahau kuwa kujituma kwa Diamond ambako yeye hata robo hamfikii.

Mpeni mbinu mbadala mtu wenu sio kupita alimopita Diamond, tunajua mnapenda lakini ndio hivyo.

Najua Kiba ni mwanamziki mzuri ila sio level ya Diamond.

Kumbe mnakubali kuwa dai alichangiwa mafanikio na Wema na Kidoti ee...😱
Kiba asijambe wala kupumua mtasema anapambana na dai.
Aisee
 
Ushabiki mwingine....

Yaani mtu anakalia kabisa akili yake kisa ushabiki mavi

Mbadilike
 
Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.

Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.
Kati ya Diamond na Kiba nani anayeonyesha kupambana na mwenzake.?

Punguza mkari Diva hamuwezi kushindana na Diamond bila kutumia mbinu mbadala.

Kama alivyosema Wema yeye ni team Kiba lakini anaukubali mziki wa Diamond, na atamshangaa mtu atakaeuponda mziki wa Diamond.

Hivi unafiki Diamond alichukuwa KORA sababu anapendwa sana Tanzania? Hapana ni juhudi zake pamoja na uongozi ulio bora.

Tanzania tunahitaji kuwa washindani wengi hasa kwenye tuzo za kimataifa kitu ambacho team Kiba mmefeli.

Hampo kwa ajili ya kumsaidia Kiba kitaifa na kimataifa, ila kumshusha Diamond awe majalala mpate cha kuongea.

Ningependa Team Kiba mngeanzisha kampeni maalumu ya kumpaisha Kiba kimataifa, kama ilivyo Nigeria kati ya Davido na Wizkid.

Hizi kampeni zenu mnafaidisha zaidi matapeli wa mziki Tanzania kuliko Kiba.

Jana tu pale Mwanza Wakati wasanii wengine walilipwa kwa makadirio Diamond alilipwa kwa kila tiket kitu ambacho team Kiba mmeshindwa.
 
Last edited by a moderator:
Leo eti mnaanza kumshobokea Wema wakati mlikua mnaongoza kumtukana na kumsifia huyo bibi. Leo ndo mnaona umuhimu wa Wema kwa huyo domo. Hahaaaa mwapenda majungu eeeh aisee kitu its to late sana tu. Jinyongeni kabisa loh
 
mr gentleman

alijua bila sapot ya ma x wa Mondi hawezi shinda ikabidi ajisalimishee kiroho mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kati ya Diamond na Kiba nani anayeonyesha kupambana na mwenzake.?

Punguza mkari Diva hamuwezi kushindana na Diamond bila kutumia mbinu mbadala.

Kama alivyosema Wema yeye ni team Kiba lakini anaukubali mziki wa Diamond, na atamshangaa mtu atakaeuponda mziki wa Diamond.

Hivi unafiki Diamond alichukuwa KORA sababu anapendwa sana Tanzania? Hapana ni juhudi zake pamoja na uongozi ulio bora.

Tanzania tunahitaji kuwa washindani wengi hasa kwenye tuzo za kimataifa kitu ambacho team Kiba mmefeli.

Hampo kwa ajili ya kumsaidia Kiba kitaifa na kimataifa, ila kumshusha Diamond awe majalala mpate cha kuongea.

Ningependa Team Kiba mngeanzisha kampeni maalumu ya kumpaisha Kiba kimataifa, kama ilivyo Nigeria kati ya Davido na Wizkid.

Hizi kampeni zenu mnafaidisha zaidi matapeli wa mziki Tanzania kuliko Kiba.

Jana tu pale Mwanza Wakati wasanii wengine walilipwa kwa makadirio Diamond alilipwa kwa kila tiket kitu ambacho team Kiba mmeshindwa.

So what?
 
Last edited by a moderator:
alijua bila sapot ya ma x wa Mondi hawezi shinda ikabidi ajisalimishee kiroho mbaya

Hayo maneno tu hata kwenye khanga na taarabu yapo. Timu mond acheni visingizio rahisi tafteni njia ya Ku move on mtumieni Zari mliyekua mna mpapatikia ka wa sayari nyingine.
 
Yaani iko hivi eti "KIBA KAOMBA KWA WEMA ASAIDIWE KUPAMBANA NA DIAMOND KTK (KTMA) kama alivyosaidiwa ktk tuzo za watu " kama wewe unajidai ni shabiki wa Kiba na unafahamu kiswahili na kanuni zake,basi kwa kauli hii ya Wema maana yake yeye(wema) ndo muwezeshaji na ndo mwenye mashabiki wa kumfanya kiba ashinde na

si Kiba anayeweza bila kuwezeshwa na Wema lakini kwa upande wa kiba maana yake ni kuwa HAWEZI KUPAMBA NA DIAMOND BILA KUPATA MSAADA WA WEMA KWA MAANA NYINGINE NI KUWA WEMA ANAMASHABIKI WENGI KULIKO YEYE
 
Asante kwa ufafanuzi wataelewa tu
 
Kwa Wema lazima kuna kilichotokea kwake kwa matendo au kusemwa akaona aongee tu na hatukijui so imebidi ajisafishe

Maana hata mie nisingependa nisingiziwe wivu wakati hata sikufikiria kitu hicho nilichoombwa kufanya

Labda pia Kiba hakumshukuru kwa juzi pia, maana ilichangia kumpa promo ya tuzo pia.

*******

Lol Le Mutuz ananifurahishaga nilikuwa simwelewi zamani ila sasa ni burudani kwangu na anakuwaga na facts pia. Wakati mwingine nacheka sitaki kuzeesha uso wangu mie kwa ninaowajulia mitandaoni...

bali naijua familia ya baba yake vizuri na watoto hata wengine marehemu na mama yao RIP tangu enzi enzi...

Kweli kabisa naamini ulichosema kwamba huenda hakumshukuru!au ameona ujinga kubeba watu kila siku wakati yeye mwenyewe anayake mengi ya kufanya!yote yanawezekana.

Le Mutuz.ni shida aisee!!yaani kile ni kipindi hasaa!!!tucheke kwa raha zetu!shida zao hazituhusu!!!!
 
Back
Top Bottom