Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje.

Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga Kariakoo, huo mtatoo sasa utadhani ngariba la mwendokasi.

Cheki sura sasa, halafu mapicha ya uchi siku hizi hapa bongo yashakua zilipendwa na zimexpry. Nashangaa [HASHTAG]#Basata[/HASHTAG] mnachekea tu lakini ingekua Ney mngekua mshamblock kuweni makini.

Haki hiyo sweta sasa nakojoaaaaaaaaaaa
Amber Ruty unajihisi wewe ni star au tukikwambia unahisi tunakuonea wivu jomoni.

Hivi na wewe ni wa kuonewa wivu? Nakushangaa unavyodhalilisha sana na unajidhalilisha wewe na mwili wako ukidhani sifa kumbe huna lolote kuanzia unyayo mpaka vidole vya miguuni jitazame vizuri.
 
mbona picha hazionekani
 
Sasa ka kweli wewe una shepu si ungeonyesha hata uani tu?? Hapa jf ni picha tu. Mwenzio kaonesha kwani ana uhakika na zana zake, wewe zako ziko uchagoni unatishia watu humu?? Anika zana sisi mahakimu tuhukumu sio weye uhukumu. Ati chupi ya mtumbaaa, yako spesheli iko wapi?? Ionyeshe tuone.
Unamwonea wivu vibration yake, kwendaaaaa
 
Heheeeee uzuri ndani kuonyesha mamno ndaniiiii
Sijisifu kw uzuri nikaushikia bango muda ukaniendea
Najisifu kwa shughuli za kutafuta chapaaa malengo nimejiwekea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…