Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje.

Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga Kariakoo, huo mtatoo sasa utadhani ngariba la mwendokasi.
1aa4169ed83d37a83941e501fb57ce0b.jpg

Cheki sura sasa, halafu mapicha ya uchi siku hizi hapa bongo yashakua zilipendwa na zimexpry. Nashangaa [HASHTAG]#Basata[/HASHTAG] mnachekea tu lakini ingekua Ney mngekua mshamblock kuweni makini.
dbdefecb14906e1d3e62ad3f39f87e35.jpg

Haki hiyo sweta sasa nakojoaaaaaaaaaaa
Amber Ruty unajihisi wewe ni star au tukikwambia unahisi tunakuonea wivu jomoni.

Hivi na wewe ni wa kuonewa wivu? Nakushangaa unavyodhalilisha sana na unajidhalilisha wewe na mwili wako ukidhani sifa kumbe huna lolote kuanzia unyayo mpaka vidole vya miguuni jitazame vizuri.
 
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu haki vilee anaona fasheni kuanika hayo mavi yake njeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini???
Fyuuuuuu bibi we
Chupi zenyewe mtumba unaokotaga kariakoo
Huo mtatoo sasa utadhani ngariba la mwendokas
1aa4169ed83d37a83941e501fb57ce0b.jpg

Cheki sura sasa hahahahaha mie nzuri etyy mara bilioni yake
Halafu mapicha ya uchi siku hizi hapa bongo yashakua zilipendwa na zimexpry
Nashangaa [HASHTAG]#Basata[/HASHTAG] mnachekea tu lakini ingekua ney mngekua mshamblock kuweni makini
dbdefecb14906e1d3e62ad3f39f87e35.jpg

Haki hiyo sweta imenifurahishaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Halafu amber ruty unajihis ww ni star au tukikwambia unahis tunakuonea wivu jomoni. hivi na ww ni wa kuonewa wivu?
Nakushangaa unavyodhalilisha sana na unajidhalilisha ww na mwili wako ukidhani sifa kumbe huna lolote kuanzia unyayo mpaka vidole vya miguuni jitazame vizuri
Kipi chambilecho kwako
mbona picha hazionekani
 
Sasa ka kweli wewe una shepu si ungeonyesha hata uani tu?? Hapa jf ni picha tu. Mwenzio kaonesha kwani ana uhakika na zana zake, wewe zako ziko uchagoni unatishia watu humu?? Anika zana sisi mahakimu tuhukumu sio weye uhukumu. Ati chupi ya mtumbaaa, yako spesheli iko wapi?? Ionyeshe tuone.
Unamwonea wivu vibration yake, kwendaaaaa
 
Sasa ka kweli wewe una shepu si ungeonyesha hata uani tu?? Hapa jf ni picha tu. Mwenzio kaonesha kwani ana uhakika na zana zake, wewe zako ziko uchagoni unatishia watu humu?? Anika zana sisi mahakimu tuhukumu sio weye uhukumu. Ati chupi ya mtumbaaa, yako spesheli iko wapi?? Ionyeshe tuone.
Unamwonea wivu vibration yake, kwendaaaaa
Heheeeee uzuri ndani kuonyesha mamno ndaniiiii
Sijisifu kw uzuri nikaushikia bango muda ukaniendea
Najisifu kwa shughuli za kutafuta chapaaa malengo nimejiwekea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom