Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje.
Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga Kariakoo, huo mtatoo sasa utadhani ngariba la mwendokasi.
Cheki sura sasa, halafu mapicha ya uchi siku hizi hapa bongo yashakua zilipendwa na zimexpry. Nashangaa [HASHTAG]#Basata[/HASHTAG] mnachekea tu lakini ingekua Ney mngekua mshamblock kuweni makini.
Haki hiyo sweta sasa nakojoaaaaaaaaaaa
Amber Ruty unajihisi wewe ni star au tukikwambia unahisi tunakuonea wivu jomoni.
Hivi na wewe ni wa kuonewa wivu? Nakushangaa unavyodhalilisha sana na unajidhalilisha wewe na mwili wako ukidhani sifa kumbe huna lolote kuanzia unyayo mpaka vidole vya miguuni jitazame vizuri.