Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Unamtafutia kick sio,kwani kuna aliyeomba kujua kama yupo humu au hayupo?mwambie kama kick atapata kupitia kwa hili hili gubegube analochukua siku likimpeleka kortini kwa kumtamani mdogo wake au atakopozaa na mchungaji ktk wale atakoenda kuburudisha kwenye makongamano yao.ila naamini huyu daudi yupo humu kwa id nyengine maana jana kuna uzi hapa alikuwa anatokwa povu hatari,kitu kama Nang'wanapi sikumbuki vizuri ila na hapa lazima atakuja.
 
Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Kwani huyo ni mlokole au ni muimbaji wa nyimbo za injili ??au ukiwa muimbaji wa nyimbo za injili ni lazima uwe mlokole ??
 
Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Halafu naona kakijana bado kadogo nadhani hakajafika hata miaka 30.!
Maskini kwa jinsi nnavyosikiaga kuhusu huyu mdada sijui kama huyo dogo ataweza kumkojoza sawasawa..!!,
 
Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na vijana wenzao. Wanataka kubebwa mgongoni na kupelekwa tu chumbani. Longo longo ya sitaki nataka ya nini? Umri ni namba tu, mashine haizeeki
Ni kweli..! Lakini sio kwa huu mfupa uliomshinda fisi.!
Kweli kuna "kukojozwa" mtu kweli hapo.?![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hivi ni kwanini mtu hujiheshimu unapiga picha za faragha unazijaza kwenye mitandao ya kijamii kama binti wa miaka 16?

Alafu kwa ushauri nyie mabinti mkiolewa na waume wapya msilazimishe awe ana act kama x husband alivyokua anafanya.

Kwe kweli hii ni fedheha!
 
Ukweli wa tabia ya mtu haiwezi kujificha. Inawezekana vipi mtu mwenye akili timamu kwenda kupiga picha kwenye chuma cha kulala hotelini? Unataka kuwaambia nini watazamaji? Jinsi ulivyobobea kwenye uzinzi na sasa unataka kumwingiza kijana wa watu kwenye uasherati? Huyu mtu anayejiita mchungaji ambaye atafunga ndoa ya namna namna hii atakuwa naye ni mchungaji mamboleo na mchumia tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…