Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Ukweli wa tabia ya mtu haiwezi kujificha. Inawezekana vipi mtu mwenye akili timamu kwenda kupiga picha kwenye chuma cha kulala hotelini? Unataka kuwaambia nini watazamaji? Jinsi ulivyobobea kwenye uzinzi na sasa unataka kumwingiza kijana wa watu kwenye uasherati? Huyu mtu anayejiita mchungaji ambaye atafunga ndoa ya namna namna hii atakuwa naye ni mchungaji mamboleo na mchumia tumbo.
Huyu binti yuko desperate mpaka sasa.
 
Duu dogo angejua Ngwajima mzee wa misukule alikula hadi kachoka.
 
miondoko hiyo huyo pastor wa kilokole anayeenda kuwafungisha ndoa, mbona kama wameshagusishana sehemu zao tayari kabla ya ndoa?
Hahaaaaaa nilitaka kusema kitu hapa
 
"Mlokole" anafunga ndoa mpya huku mumewe bado yu hai na madam akiwa na katoto kadogo. Tena inaonekana amemzidi umri pakubwa yule bwana mdogo. Yaani hapa dogo anaolewa na hili Nyangumi.
 
Mbona dogo anaonekana kama yuko na shangazi yake, hawa match
 
Uroda uroda labda amekuta bado panatoa maji kem kem, kama hata anajua kuwa hayo yanaongeza uroda wa grade ya juuuuuuuuuuuu.

Ila kazuri jamani kavulana hako, naona bibie kaakua kuachana na wazee na apate dogodogo ampe furaha na mapenzi motomoto amfunze kijana uroda wa maisha ya faragha. Ila najua wazee wengime nao hawajambo ha ha ha haaaaaa
mkuu vipi na hapo kwako maji yanatoka kem kem?
 
Hhyu mwanamke anamzidi huyu mwanaume kwa umri
 
Ninekuwa nikisema kuokoka ni mpaka pale utakapo shinda majaribu yote mpaka siku ya mwisho inakukuta ukiwa na msimamo thabiti juu ya Mungu...
Ona sasa aliye okoka anafunga ndoa ya pili baada kushindilana ile ya kwanza. Uvumilivu uko wadi? Kusameheana kuko wapi?
 
Back
Top Bottom